miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
Wakuu za usiku husika na kichwa hapo juu basi bwana nilikua na x wangu kabla ya kumpata huyu nilienae yani ukimdekea tu kidogo kwenye sim hapo yupo job au mpo home jamaa anamind hata kukubembeleza hawezi labda tu kuna kaishu kametokea kamekukela sasa umamuhadisia jamaa anakujibu wewe nae kama mtoto kutwa tu kujidekesha kua bwana basi ikaenda kama mwaka tukamwagana sasa basi nikampata uyu ambae nipo nae now yani anaenjoy kunidekeza si mbele za watu au home au kwenye sim basi naenjoyy mpaka basi je kuna wanaume wanaoona kero kuwadekeza madem zao