Wale wenye wake zaidi ya mmoja inawahusu

Wale wenye wake zaidi ya mmoja inawahusu

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,569
Reaction score
17,992
Wakuu salamu..
Wakuu hivi kwa huu usawa ulivyo mnawezaje kuwafanyia uadilifu wake zenu maana dah mmoja tu nanga inapaa..
Tupeni uzoefu..
 
Wake wengi raha sana mkuu asikwambie mtu.

Mimi ninao watatu kila mmoja ana ekari 3 wanachakarika shambani vilivyo tena kwa ushindani.
 
mimi ninao wawili na maisha yanaenda, cha msingi ni kwamba chakula hakikauki ndani.
 
Back
Top Bottom