Ulimwengu wa mapenzi ni ulimwengu wa raha na mateso

Wana MMU salama?

Mapenzi ni kitu kitamu lkn pia ni kitu kichungu sana kuliko chochote
Yanaweza pia yakafanya uonekane kama mjinga
1352573368d7ed661583b444e11e3b98.jpg
 
Umetulia sana na video yake pia bomba.
huyu dada beyonce ako vizuri sana katika music..kuna wakati tumeachana na aliyekuwa mpenzi wangu akanitupia ule wimbo wa irreplaceable wake beyonce..niliupenda sana aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mapenzi matamuuuuu sana ukiyapatia lkn ukiyakosea utalia bila kupigwa
 
Back
Top Bottom