Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 609
Habari wandugu wa jamii forum.
Yupo binti mmoja tuliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi hapo..awali kutokana na sababu mbali mbali tukajikuta kila mtu anashika njia yake. Upande wangu, sikuwahi kumtukana wala kafanya chochote cha kumuuzi.
Cha ajabu mwenzangu ameanza kunitukana mitandaoni nikipost picha kwenye page yangu..anaandika comment za ajabu za kunishusha heshima yangu, nimejaribu kwenda nae kistaarabu naona mwenzangu namvimbisha kichwa. Sasa wadau hebu nishaurin maana wanasema hasira hasara, huyu mtu nimfanye nn kinacho mstahili.
Ili ajue mahusiano sio ndoa..maana anakoelekea anazid kunichafulia heshima yangu niliyoijenga kwa miaka mingi kwenye jamii, halafu yeye anakuja kuvuruga kirahisi rahisi.