Mlemi
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 161
- 91
Habari za leo wana MMU,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema,
Nimekuwa nasumbuliwa na hili tatizo kwa mfululizo. Kwanza niweke wazi kuwa sijaoa, na kipindi cha nyuma nilikuwa napata hizi ndoto ambazo kitaalam wanaita (wet dream) kawaida, ila zilikuwa zinatokea kwa nadra sana.
Sasa tangu week iliyopita nimekuwa naota kwa mfululizo hadi jana usiku ni siku ya tano naota hiyo ndoto na unajikuta umejaculate. Na namuota same person kila siku, naombeni ushauri wenu wataalam wa hii kitu.