Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asaalam ndugu na Jamaal!! Naomba kutambua ni faida zipi za kufanya mapenzi ingali mi na miaka 21. Nategemea kuanza mapenzi nikimaliza chi0!! Na zipi ni hasara za kutokufanya mapenzi kwa muda...
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona...
4 Reactions
64 Replies
9K Views
Hip/buttock booster cream/pills Breast firming cream Breast enlargement pills Skin lightening cream/pills Hair booster cream Ulcer pills Padded bikers/corsets/waist trainers Slimming...
2 Reactions
64 Replies
17K Views
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe. Chai ina nafasi ya...
36 Reactions
108 Replies
12K Views
Unataka kuolewa? Umejipanga? Nimeipenda hii wadada wenzangu. Akina dada wengi tunapenda sana kuolewa; lakini ni wachache sana wanajua namna ya kukaa mkao wa kuolewa, na pia namna ya kuchambua...
57 Reactions
691 Replies
53K Views
Habari wanaJF, Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza. Kwako shemeji Mkurya, Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu...
17 Reactions
248 Replies
27K Views
Wajuzi wa mambo nawasalimu.. Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi. Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama...
9 Reactions
136 Replies
11K Views
Wadau, Naomben ushauri, mimi nina ndoa ya kikatoliki lakini kuna mwanamke natamani awe mke wangu pia, yeye anasali Pentecoste. Je inawezekana nikafunga nae ndoa kanisani kwao au hata Bomani...
2 Reactions
91 Replies
9K Views
Kama kawaida yetu wakuu huu ni mrejesho kwenu ndugu zangu. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Kwa hili mimi nitaoa Rwanda. Sisi ni kama ndugu kanuni yetu ile ile ya...
2 Reactions
115 Replies
14K Views
Ndugu zangu, Naomba mnisaidie, Taratibu za kabila la wapare kuhusu kuozesha mabinti zao huwa zikoje? Kuna rafiki yangu anahitaji msaada haraka ili aanze taratibu hizo. Nawasilisha.
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Wakuu, Hawa ninaswali kidogo hawa mabinti wanaokua wadogo lakini matiti yao yamelala kama wazazi hivi waga ni nature yao au wanakua walishatoa mimba? kuna kabinti flani kamenishangaza kabisa...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ivi wadau! Inakuwaje kuchezea hisia za mwenzio ilhali ukijuwa wazi kuwa anakupenda kwa dhati?
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hivi humu hamna mtu hata anayeoa au kuolewa? Mseme jamani mchango sio lazima uwe wa pesa hata mawazo ya waliopitia hayo mambo yanaweza kukusaidia maana issue ya harusi inakuwaga na changamoto...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Najua kwa sasa wengi wameona kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni sifa bila kujua madhara yake. Sitaki kuhubiri najikita moja kwa moja kwenye swali: Pale unapompata binti na moyo wako ukampenda...
3 Reactions
112 Replies
21K Views
Wasalaam wakuu....Baada ya salamu naenda moja kwa moja kwenye mada Wanaume kama ilivyo kwa wanawake, na sisi tuna saikolojia yetu ya maisha. Usipotuelewa unaweza ukatuchukia wanaume wote duniani...
15 Reactions
110 Replies
19K Views
Habari wakuu, Kuna kautafiti kadogo nimefanya na nimegundua asilimia kubwa ya wanawake waliopo ndoani hawana ujanja wa kuwakwepa ex waliompenda na wakaachana kwasababu flani na baadae kuolewa na...
9 Reactions
358 Replies
46K Views
Habari zenu wana MMU Kama sikosei mwishoni mwa Mwezi June Nililetaa uzi uhusuo Mimi na Kipenzi changu Kuachana Basi nilimsahau kiufupi japo nilikuwa Nampenda Kiasi! sasa kila nikitazama our old...
1 Reactions
70 Replies
49K Views
Kiufupi mimi na best friend wangu ni watu wazima tuko na familia zetu. Nilitangulia kuoa yeye akawa best man wangu na mimi kulipa fadhila nikawa best man kwenye harusi yake baadae. Mimi na rafiki...
4 Reactions
114 Replies
17K Views
Bwana apewe sifa! Leo naongelea swala la kudharauliwaaa na kijidharauuuu binafsi kuona hustahili vitu flani flani adimu, wewe ni wa chini sanaaa, kutokana na maisha flani ulio pitia unaona baadhi...
12 Reactions
13 Replies
4K Views
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl] Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa. Baada ya hiyo hali kumchosha house...
20 Reactions
91 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…