Kumbe neno hili ndio maana yake???

Kumbe neno hili ndio maana yake???

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Juzi nilienda Kenya kwa shughuli za biashara, kutokana na shughuli za shamba kupakia mzigo na kusafiri kwenye magari na mzigo nikafika nikiwa nimechoka sana, na viungo vinauma sana

Nikafika nikachukua chumba then nikabadili nguo nikaingia bafun kuoga, nilivyotoka bafuni kucheki kitandani kuna mto mmoja wa kulalia, mto wenyewe mdogo mwembamba kama ulimi, nikaona ngoja niende reception kuomba kuongezewa mto mwingine

Nilipofika nikamwambia yule mtu wa mapokezi "i need an extra pillow", jamaa akacheka then akaniambia poa usijali ntakutafutia mzuri

Poa na mimi nikacheka nikarudi zangu chumbani kuendelea na mahesabu yangu ya biashara,
Nikakaa kama 20 minutes kimya, nikarudi tena mapokezi kumuuliza jamaa niaje mbona kimya, mshikaj akajibu " usijali mbongo nimekutumainia pillow musuri iko inakuja" nikarudi chumban

After kama 10 minutes nikasikia mtu anagonga mlangoni, kufungua nikakutana na kabinti kazuri ka kikenya kananukiaaa kako mlangoni, nikakauliza vp?? Kakanijibu mimi ndio mgeni wako, mmh nikastuka, ikabidi niende kwa mshikaji kumuuliza ni vp?? Akanijibu we si ulitaka extra pillow? Ndio nimekuletea

Duh!! Kumbe extra pillow ni code katika hotel ya kutaka mtu wa kupoza nae, sasa nikabaki njia panda, ni kweli mwili unaniuma, na kabinti kametolewa mbali huko na kameshafika, nikatimue karudi kwao au nikape kazi ya kukanda mwili!!!!
Kilichoendelea ntakwambia siku nyingine



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mwanamke akiomba extra pillow inakuwaje[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hala

Halafu sijui kwanini siku hizi ukiwa kwenye situation kama hiyo, ile saut ya sasa naliamsha inakujia
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom