Imefika mahali nawaonea huruma wanaume ambayo hawaendi gym na wanawaruhusu wake zao kwenda gym

Hainaga ushemeji

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
451
777
Kuna gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku

Yaani kwa haraka haraka naona kama hawa wanawake wote members hapa wana vijana wa kuwaweka sawa(Nina marafiki wengi sana hapa so they tell me stuffs)

Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....

Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani

Ni tahadhari tu maana I have seen enough
 
Wewe ndo unaekazaga wake zetu huko gym maana hata hilo jina lako ni la mashaka.
 
Mkuu kua muelewa basi, stories are circulating humu, so inafika mahali kila kitu kina kua wazi
Storie are circulating!! Stories, stories, stories!!!! Kama mwanamke amegawa nje, ujue kuna mambo mawili tu, either hakupendi au humridhishi!! Baasi!! Kwa wanaume ni nature tu!! By the way anzisha ka gym kako nyumbani kama unaogopa kuchapiwa, ni cheap sana tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom