Sitakuja kujibizana na mke wangu kamwe

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote utakalomwambia afanye atalifanya kwa kuwa anajua yeye ndiye mwenye hati miliki.
Nitaendelea kumlinda na kumheshimu mke wangu kamwe sitajibizana na kumrushia maneno mithili ya korea na marekani
 
Ndo sio rahisi kiasi hicho, kuna mambo mwenzako akifanya unatamani uondoke nyumbani wiki nzima ukirudi hasira zimepungua, usiseme hutajibishana nae labda useme utajitahidi usimpige hilo ndo jambo la maana.
Sema utatumia mbinu mbadala kutatua migogoro pale itakapojitokeza mbali na kumpiga mkeo.
Ndoa sio linear equation acha kabisa

sent from Sokoro nkorambokande
 
Inategemea na mtu na mtu kuna wanawake Ni very smart akikosea Ni rahisi kujifunza na Ku admit amekosea. Hata kabla hujaongea tayari unaona keshajifunza kitu.

Side b Sasa kuna wale ambao kakosea hatak kukubali, plus maneno, ukiuliza tuuuu utasikia maneno mengi saana. Ukijaribu kumuelekeza ndio unaharibu kabisa.
Sampuli hii dah Ni ya kuepuka kabisa unaweza ishia jela
 
Watu wa pwani husema mwanamke hapigwi kwa ngumi, hupigwa kwa upande wa kanga.
If you know what i mean

You get what you work for not What you wish for
 
Back
Top Bottom