Lenyox
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 174
- 360
Mimi ni msichana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa. Nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambao tulishindwana sababu ya mimi kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa.
Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu sana na twajuana mambo mengi na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa.
Tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadithi ya kila siku na nikimkatalia nikimwambia zaidi ya kuwa sifanyi mapenzi kabla ya ndoa mtoto ndio asahau.Kama anataka mtoto anioe.
Ananiambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao.
Hivi hapa kakasirika toka juzi hatujawasiliana kisa nilimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat sijaolewa, eti nawajali ndugu zangu kuliko yeye kwanza si naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa hadi nikajfungua.
NB: Nimeleta hapa siombi ushauri kwa sababu tayari naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwa sabubu siwezi kumwadithia mtu.