A human being is a complicated project

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,391
3,402
Binadamu, watu, sio wa kuwaamini moja kwa moja. Usiweke asilimia 100.
Kwanini nasema hivi. Hali inasikitisha sana wale watu tunaowaamini, tunaowapa siri zetu, ndo hao hao wanaotugeuka na hata kutuua.

Mifano ipo mingi sana. Inatokea una rafiki unayeamini ni wa kufa na
a kuzikana. Unapata mchumba pengine na kumtambulisha. Bila kujua anakuzunguka na kwenda kumwambia' pale unapotea yule alikuwa muhuni, kila mwanaume anayekuwa naye hufa na mambo mengi. Unakimbiwa! Ukibahatika utamgundua au utashangaa tu unaachwa! Rafiki huyo.

Watu wengine ni wanandoa, unakuta baba ana life insurance. Anamshirikisha mke. Mke anaona choyo atafanya kila mbinu kumuua mume ili abaki na pesa. Anasahau hata dini, anasahau hata upendo wa mumewe kwake, (Dunia tunaenda wapi?)

Inafika mahali mt tunaogopana. Hujui nani ni nani.Jamani ebu tumuogopeni Mungu. Haya yote ni kukosekana hofu ya Mungu) Ibilisi anapokutawala. Kimbilia msaafu au Biblia! Tupendane! Tusichukiane, tusiharibiane maana hata wewe hutafaidika kwa kumharibia mwenzako.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inakuaj umuamin mtu 100%
wakat ww mwenyewe sio mwaminifu 100% unaweza sema ntafanya kitufulan mda fulan na usifanye so hata ww usijiamn 100%

sent from aifoni seveni plasi
 
inakuaj umuamin mtu 100%
wakat ww mwenyewe sio mwaminifu 100% unaweza sema ntafanya kitufulan mda fulan na usifanye so hata ww usijiamn 100%

sent from aifoni seveni plasi
Ni kweli but nia yangu Ni ile unamwamini MTU anachokuja kukufanyia ubaki mdomo wazi.Ulitegemea akufanyie MTU wa mbali But Dooooooo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom