Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niaje wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada kwenu ninyi dada zangu mnaopiga picha za uchi huwa mnafikiria nini baada ya kupiga hizo picha yani nyie huwa mnaangalia leo tu kesho huwa hamuioni...
4 Reactions
60 Replies
20K Views
4 Reactions
49 Replies
8K Views
✍️
7 Reactions
178 Replies
10K Views
Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
23 Reactions
244 Replies
20K Views
✌ADVERT CLOSED✌ Thanks to all who showed cooperation
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Nahitaji marafiki wakuchat nao through whasp kubadilishana mawazo yenye kujengana. Mr Emmanuel 0713791233 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
3K Views
"Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa akili" Mungu alikuwa anajua anachosema,kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated". Wanawake huwa...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
JE NI AINA GANI YA MAHUSIANO YA KIMAPENZI UKO NA MPENZI WAKO? Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenzi ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika...
0 Reactions
4 Replies
21K Views
Sina kabisa ujasiri wa kutongoza wanawake japo nawatamani sana sijui kama ni tatizo kubwa sana na linasababishwa na nini wataalamu wa mambo ya kisaikolojia mnaweza kuchangia kunipa mawazo ya nini...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex...
1 Reactions
86 Replies
23K Views
Habarini ndugu zangu wana Jf. Twende moja kwa moja kwenye mada. Katika pilikapilika za kutafuta maisha, kama mnavyojua usafiri wa Dar kero tupu, niko kituo cha Mbagala rang3 gafla gari ya...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi, Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu. Umri wangu : 28 Elimu: Bachelor degree...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kumekuwa na matumizi mabaya sana ya simu za mikononi hasa hizi smart phone kwa sasa. Unakuta mke na mume wamerudi kazini jioni baada ya kula wakapanda kitandani kila mtu yupo busy sana simu...
15 Reactions
42 Replies
8K Views
Nina mke wangu ambae naishi nae huu mwaka wa nne sasa hatujawahi kugombana ule ugomvi mkubwa na wala sijawahi kumfumania. Kuanzia mwezi Disemba mwaka jana nikaona kama amekuwa tofauti kidogo...
17 Reactions
270 Replies
25K Views
Ndugu zangu wapendwa.Habarini kaka na dada zangu; Leo nimewiwa kushirikishana na ninyi juu ya nafasi yako katika familia yako kutokana na nafasi uliyozaliwa.Hapa namaanisha uzaliwa wa kwanza,wa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke. Sifa; -Ajiamini, -Umri 28-35, -Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha. -Awe amejiajiri au ameajiliwa...
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari za muda huu waungwana wa jf Niende straight kwenye mada...mimi ni kijana nnampenzi wangu(ke) ambaye nnampenda sana lakini tatizo anatoa harufu mbaya ukeni, kitu ambacho kinanifanya nikose...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu shost ni mwalimu wa primary, alifunga ndoa na mpenzi wake wa tangu secondary, walipomaliza form four A, mmoja alikwenda teaching mwingine alikwenda chuo cha Polisi Moshi. Baada ya kumaliza...
17 Reactions
47 Replies
5K Views
Upo katika mahusiano kwa ajili ya nini? Je upo tu kwa kuwa ni fasheni mtaani au kwa rafiki zako!? Au je upo kwa ajili ya kujiongezea uzoefu wa ndoa!? But unafaidika nini katika hayo mahusiano...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…