Vurugu za bata kwenye matope ni starehe yake, ukizitafakari vurugu hizo utamkinai, kwenye mahusiano iko shida kubwa nayo ni kutomuamini mwenza wako kutokana na matendo yake.
Hilo likipenyeza...
Habari,
Nilipitia maumivu makali sasa nimepona na nimeamua kurudi kwenye game,
Nina 30 years old
Nina degree
Sijaariwa ila nimejiajiri(sipendi kuajiriwa)
Nina kipato cha kutosha watu wawili...
Salama wakuu,
Naomba mnisaidie kuna bibie mmoja ninaishi nae japo hatujafunga ndoa, ila changamoto imeanzia kwenye hela ya matumizi.
Hapa tunaishi wawili tuu mimi nae hela ya kula nyumbani kila...
Kiiiiiila siku yeye ni mizinga tu mara hivi kesho vile, kwakua nishammega sina chakupoteza.Yani ni bora ningemuajiri nijue moja kwamba natakiwa kumpa mshahara kila mwezi mana sio kwa mizinga hii...
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth...
Unakuta umeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana na mahusiano yenu hayana hata miezi miwili lakini kutwa kucha msichana anaulizia masuala ya ndoa. Mnatakiwa mtambue kwamba ndoa si jambo...
Hii imeshanitokea mara kadhaa sasa. Naweza kusema pia ishanitokea mara nyingi.
Nje ya Tanzania, kwenye nchi ya/ za kigeni unakutana na mtu ambaye si Mtanzania. Anaweza akawa anatokea Afrika au...
Baada ya kumpenda yule dada alieniacha baada kwenda kusoma mwanza Hakika niliteseka sana,Jinamizi la huyu mwanadada lilinitesa saana kiasi kwamba nikitizama nje darasani kipindi hiko nilikuwa kama...
Kama ndio kijana umemaliza chuo na hauna kazi au ndio bado una hustle from the skrachi kabisa ndugu yangu embu jitathimini kidogo fikiria maisha yako.
Unaonaje hio hali ya kulazimishwa kumnunulia...
nimeangalia hii picha nikacheka kweli kwakuwa yaliyoandikwa juu yake hayafanani kabisa na body language ya wahusika hasa dogo ambaye sura yake inaonekana vizuri... [emoji2] [emoji2] [emoji2]...
KWENU AKINA DADA...
Najua wengi wenu mnatamani kuolewa. Mna ndoto za kuwa na familia inayolelewa na wazazi wote wawili. Sasa usitumie kanuni mbovu kutafuta matokeo sahihi.
Kwanza jifunze mwanaume...
Helow,
Naomba msaaada kwa hii kitu inanitesa.
Iko hivi;
Kuna msichana nilianza nae mahusiano 2015 mwezi wa7 kipindi hicho ye yuko shule mi niko kitaa, baada ya kuhitimu mwezi wa11 akarudi kwao...
Kama wazazi tuna wajibu wa ku-discipline watoto wetu, katika makuzi tuliyokulia wengi ilikuwa ni mwendo wa vitasa na fimbo kama njia ya adhabu. Njia hii ni njia sahihi ya kutoa mafunzo kwa watoto...
kwema jamani?
poleni kwa kukamatiwa ndege yetu huko canada ila ndo hivyo dawa ya deni ni kulipa tu,ubabe sio issue kivile kwenye kulipa madeni ya watu.
niende kwenye kilichonileta huku jf...
Wazalendo, natumai mu buheri wa afya,
Back to the above heading; ni hivi kuna msichana anadai yeye hana mpango wa kuolewa na kwamba ana mpango wa kuzaa tu, na apate kuishi na mtoto wake.
Anasema...
Wazee hii ni moja kati ya hatua ambayo kama kijana uliyekamilika lazima utakuwa umewahi kuipitia katika maisha yako
Tupe changamoto au mikakati uliyokuwa/unayotumia katika kuhakikisha unaingia...
Moyo nataman hata niubadilishe na moyo wa kuku
Ninampenz simuelew jmn Mimi moyo wangu unauma sana....anaweza amka asubuh hata msg ya umeamkaje hamna... Atakaa siku nzima hata cm hamna mpaka Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.