Nimuache au niendelee nae?

Nimuache au niendelee nae?

Btwiz

Member
Joined
May 14, 2017
Posts
61
Reaction score
23
Helow,

Naomba msaaada kwa hii kitu inanitesa.

Iko hivi;

Kuna msichana nilianza nae mahusiano 2015 mwezi wa7 kipindi hicho ye yuko shule mi niko kitaa, baada ya kuhitimu mwezi wa11 akarudi kwao mkoa.

Baada ya kuwa kule kijijini akampata mshikaji mwingine huku akiwa na mawasiliano na mimi mi apo sijui chochote baadaya siku kusonga mshikaji wake akanipigia simu na kuniambia kuwa amekosea no. Kumbe hakukosea namba alipewa na uyo msichana baadae msichana akanipigia na kuniuliza kuna mtu amekupigia nikasema ndio, akasema ananisumbua sana uyo mkaka.

Sasa nimekuja kujua kuwa walidate uzalendo ukanishinda nikamuliza veep nimesikia ivo na ivo. Nikimuuliza analia ovyo ovyo anasema alipitiwa bahati mbaya ndomana alimpa namba zangu jama anipigie anipange vyovyote vile ili mi ningelikuja kusikia ningeona kawaida yani skendo.

Nilimuuliza yeye ulinicht anasema kwababu hakuwa ameniamini kabla na tulikuwa mabalimbali na anasema walifanya ivo 2016 mwezi wa 2.

Sasa wandugu mnisaidie NIMPIGE CHINI AU NIMSAMEHE mana inaniuma vibaya mno na mbaya zaidi mshikaji alietoka nae namjua yani nikisikia tu jina lake moyo wote unakufa ganzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na mwanamke wangu kwa sasa ni ex-wangu sababu ya kuachana ilikuwa tupo mbali mbali, Mpaka leo tupo kama marafiki tu sababu mimi mambo ya yeye yupo Arusha mimi nipo Dar naona haina maana zaidi ya kujipa mawazo na hisia za moyoni tu. Ukiona mwanamke anampatia namba yako ya cm mwanaume mwengine ujuwe hata hio papuchi yake kishampatia mwanaume mwengine pia. Hapo anatafuta sababu makuchi mawili mgombane na abakie na kuchi moja.
 
Ngumu kumesa. I believe on second chances jamani. But Fanya vile moyo wako unataka
Lakini kumbuka fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Uyo temana nae wanawake tupo wengi tunao jielewa!! anaonyesha hana msimamo alafu bado anaakil za kitoto
 
Nilikuwa na mwanamke wangu kwa sasa ni ex-wangu sababu ya kuachana ilikuwa tupo mbali mbali, Mpaka leo tupo kama marafiki tu sababu mimi mambo ya yeye yupo Arusha mimi nipo Dar naona haina maana zaidi ya kujipa mawazo na hisia za moyoni tu. Ukiona mwanamke anampatia namba yako ya cm mwanaume mwengine ujuwe hata hio papuchi yake kishampatia mwanaume mwengine pia. Hapo anatafuta sababu makuchi mawili mgombane na abakie na kuchi moja.
Ndo ilivokuw mzee.
Da!! Nouma sana

Back
Top Bottom