Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wana jf! Naandika huu uzi kwa masikitiko makubwa sana juu ya huyu mtoto wa shangazi yangu, Mnamo mwaka 2012 mwezi disemba shangazi yangu alifariki dunia kwa ugonjwa wa kifua...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Huu ni mkosi naweza kusema ivo, mfululizo wasichana wanne wote ninaowapata nawakuta ni wazazi wa kujitegeme pasi kuwa na baba wanafahamika kama single maza, hivi hii dunia inamaana mabinti ambao...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa! Kuna kipindi nilikuja na uzi wa kuumizwa na kutaka kutapeliwa ktk mahusiano, nashukuru kwa ushaur wenu kwan niliweza kuachana nae na kuendelea na maisha yangu. Kuptia Uzi...
25 Reactions
181 Replies
13K Views
UPEKEE WA NDEGE NJIWA 1.Njiwa hutaga mayai mawili tu 2.Njiwa ndio viumbe pekee duniani wenye mpenzi mmoja,yaani huyo mmoja akipotea au kufa anaebakia hawezi kuwa na mpenzi...
5 Reactions
40 Replies
36K Views
Ni pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako...
19 Reactions
179 Replies
10K Views
Kusema Uongo kunaweza kupelekea kuvunja Mahusiano ya Wanandoa. Ahadi ni kitu au jambo linalotamkwa na mmoja miongoni mwa Wanandoa, ambalo kwa kiasi kikubwa, hubeba Matumaini kwa Mwenza wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuuu habari za leo? Wa dar poleni na mvua za rasha rasha mweeeeeee,wakuu kunajambo najiuliza WANANDOA WANATAKIWA WAISHI VIPI?? *MKE AISHI VIPI NA MUMEWE...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam members...!! Naomba kuuliza wazazi na walezi wenzangu, hv inakuaje au inawezekanaje mtoto wako akapata mimba halafu ni mwanafunzi wa shule ya msingi au secondary halafu mpk inafikia miezi...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Wapendwa habari za jioni, Poleni na kazi za mchana kutwa, Utakuta mtu anaishi na mume au mkewe hajawahi msifia mwenzi wake kuwa amependeza,mfano mke ametoka salon amejipamba vizuri anarudi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda Mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Habari... Ushawahi kumpinga MAKOFI mpenzi wako??? Tuambie sababu kubwa???
0 Reactions
18 Replies
2K Views
salaam kwenu wadau Hapa najaribu kumtafakari mwanamke na kauli zake zenye kuogofya,mwanamke mnaweza kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu au ndani ya ndoa lakini siku umkikosana ana kauli yake moja...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Hivi kuna mapenzi ya dhati au ni kudanganyana?maana mtu akiona picha anachanganyikiwa wakati picha hizo wanaendaga kupiga photopoint.
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Natumain mpo wazima ndugu na jamaa kama kichwa cha hii topic kinavyojieleza hapo juu Mm ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike kwajiri ya kubadilishana mawazo Kwa yeyeto ataevutiwa na hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za usiku wana JF.... nimekutana na tukio ambalo mpaka sasa bado lipo linazunguka kichwani mwangu, Ni hivi jama anakataliwa na ndugu zake wa Damu kuwa yeye siye ndugu yao pamoja na...
1 Reactions
56 Replies
10K Views
Pale ulipokataa mimba au ukaikubali kwa mashaka halafu siku ilipofika mtarajiwa alipozaliwa ile umeenda hospita ukakuta copy na wewe yani haikua hata na haja ya mtu kuuliza,ulijisikia vipi?
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna msichana mkali kwa muonekano yani mashine sio kitoto ila anakasoro 1 tu hii hapa. Nimefanikiwa kulala nae mara tatu mfululizo, siku ya kwanza alivyokuwa geto wakati wa mambo yetu yale...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Binti wa kazi ni msichana wa umri kati ya muaka 14 hadi 18 ijapo kuwa kuna wengine wamezidi umri huu hadi wengine kabisa kuwa watu wazima; wa mama wa makamo na hadi ma bibi vizee. Binti wa kazi...
4 Reactions
9 Replies
7K Views
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe. 2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye...
1 Reactions
91 Replies
9K Views
Kitenesi kipo Midoli ipo Draft lipo Pool table lipo Yote hayo tutacheza ila sio kucheza na penzi langu Urafiki wetu unoge sana sana mazoea kwa mpenzi wangu ctak Ukileta utani utajuta Katu...
3 Reactions
9 Replies
915 Views
Back
Top Bottom