666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,046
Kama ndio kijana umemaliza chuo na hauna kazi au ndio bado una hustle from the skrachi kabisa ndugu yangu embu jitathimini kidogo fikiria maisha yako.
Unaonaje hio hali ya kulazimishwa kumnunulia demu wako nguo na vitu vingine wakati wewe hela yenyewe huna na ata ukiipata wew mwenyewe haikutoshi! Mzee ni haki kwako kweli?
Unajiskiaje sasa kila siku unalalamika why msichana wako daily user busy anaongea na watu wengine, na ujue kabisa wanaume hao, anyway bado unajaribu kuwaza sio?
Unaonaje jinsi fasheni za nguo na simu zinavyokuja na kukupita wewe hauna ata kimoja na vyote vinakupita, ila wanaume wenzio wanavyo, unazani mwanamke wako havijui ivyo vitu?
Huna uwezo wa kumpeleka mchumba wako sehem ata mkaenjoy tu, unawaza mengi sana mwenyewe hujiwezi kwenye mengi sio?
Naam yote hayo nimeongea kukujengea picha kamili juu ya mambo yalivyokusonga, je utafocus vp kwenye kuhustle ktk hali hio? Utafanikiwa kwa usahii kweli? Basi, mapenzi kama hauna kipato cha maana kwako ni UTUMWA, mwisho wa siku lazima uumie tu, lazima ujiskie vibaya tu, na mwisho wa siku unaanza kuwalaumu wanawake tu.
Hauna hela, hauna pamba,na hauna kazi, ndo kwanza unatafta sasa atakupenda nani? Atakupenda fisi, ata uyo ulienae itafikia muda atakuchoka tu man, embu focus kwenye kupata kazi na hela, ujue ukweli na uache kujidanganya.