abby gregory
Member
- Apr 23, 2017
- 41
- 19
KWENU AKINA DADA...
Najua wengi wenu mnatamani kuolewa. Mna ndoto za kuwa na familia inayolelewa na wazazi wote wawili. Sasa usitumie kanuni mbovu kutafuta matokeo sahihi.
Kwanza jifunze mwanaume MUOAJI anataka nini na anakuwaje. Muhimu sana. Usitumie muda mwingi kuwavutia (impress) wanaume wenye TAMAA na mwili wako. Ukiwavutia hawa usijulize kwa nini mahusiano yako na wanaume unaokutana nao hayafika-gi mbali. Usisahau hilo unapopiga picha za kiharasa hasara.
Pili, kumbuka hata wanaume wahuni wanaokufanya ujirahisishe kimoyo moyo wanatafuta mwanawake makini aliyetulia. Hawatafuti mwanamke anayeonesha mwili wake hadharani.
Ukiona uko kihuni huni na wanaume 'makini' wanakufuatilia, jua hawana mpango wa muda mrefu na wewe. Badili hesabu zako.
Anza kuonekana mwanamke makini kwa mavazi, tabia, mwenendo. Wanaume makini watakuona kirahisi sana. Huhitaji kujirahisisha mitandaoni.
Wengine mnalalamika kukutana na 'WRONG MEN!' Unajiuliza inakuwaje kila mwanaume anayekupenda unakuja kugundua ni msumbufu. Well, tuchukulie kweli wewe ni 'Right Woman.' Jiulize wapi unaweza kukutana na hao Right Men? Baa? Guest House? Night clubs?
Unaendaje kwenye maeneo 'sumbufu' halafu utegemee kukutana na wanaume wasio wasumbufu? Badili hesabu zako.
Najua unaweza kuwa muhuni na bado ukaolewa. Lakini ukumbuke ndoa ya 'muhuni' hudumu KIHUNI HUNI. Uchaguzi ni wako.