Mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe. Wewe wajali sana wale rafiki zake piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa kadha.
Washirikishe...
Kwa wanaume ni kama jambo fulani la fahari kumtoa msichana usichana wake na kujihisi kwamba huenda anapendwa au atapendwa sana na huyo binti!
au pia wakati mwingine huhisi tiyari ameshauteka moyo...
Nilikuwa na boyfriend wangu, tulipendana sana lakini ikatokea mimi nikahama mkoa ule ambao yeye alikuwa anafanyia kazi. Kwa ahadi ya kukutana kwani muda si mrefu yeye anaanza likizo.
Basi nami...
1. Miaka michache kidogo iliyopita mwanamke kuzaa nje ya ndoa (bila ndoa) ilionekana kichefuchefu.. Yaan utadharauliwa na kila mtu lakini sikuhizi tunashangilia na kupiga makofi.. Tunatamani kuwa...
Bila hata kwenda mbali angalia post hapa
1.USIMTAMBULISHE MKEO UTAGONGEWA
2.Usioe mwanamke mzuri
3.Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa
4.Usioe mwanamke aliekuzidi kipato
5.Usioe mchaga/muhaya...
Huyu dada namuaminia anajua kusaka pesa aisee japo hii project kaipa jina la core ya project nzima ukweli dyudyu imekua issue jamani wengine wanapata kwa kalenda...
Unaitwa nani
_Naitwa Babuuu
Kwenu mko wangap
_watatu
We wa ngapi
_last but mjanja
Unampenda nani Zaid Kat ya wazazi wako
_mama
Unasoma wapi
Nasubiria kujoin chuo
Unapenda chakula gan...
Ukipata mtu anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni, mpende pia na kumuonesha mapenzi ya dhati bila kumhukumu kutokana na historia yake ya nyuma kuwa alikuwa na nani na alifanya nini.
Huenda alikuwa...
Nimekuwa msomaji wa jamii forum kwa miezi 6 sasa. Naishi nje, nimekuja likizo ya miezi 2 nakaribia kuondoka; nimejifunza sana kuhusu mahusiano hapa jamii forums na pia in real life mtaani...
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaanza anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anataka bafuni na taulo...
Habari za wakati huu ndugu mwanachama wa JF
Hakuna haja ya kupoteza muda wacha niende moja kwa moja kwenye mada.
Tangu Anko Magu anitumbue sio siri nilikimbilia kwenye bodaboda na kijiwe changu...
Ndugu wapendwa natumaini mu wazima wote
Kuna vijitabia na sanasana majibu wanayopeana vinaweza kuwakosanisha na hata kuwatenganisha wanandoa,hebu tizama mfano huu:-
MKE : mbona unanukia pafyumu...
Mtu unajua kabisa kuwa unaenda katika Harusi Ukumbini ukiongozana na Mkeo / Demu wako halafu unajua fika kwamba kule pia utakutana na Wahudhuriaji wengi ' Mabachela ' waliotukuka kama GENTAMYCINE...
Juzi kati nilijikuta kwenye kampani ya watu wa rangi mchanganyiko. Kulikuwepo na wazungu wachache, wahindi kadhaa, wasomali, waarabu na sisi waafrika wawili watatu.
Katika kupiga story tofauti...
"So Much In Love"
As we stroll along together
Holding hands walking all along
So in love are we two
That we don't know what to do
So in love (so in love)
In a world of our own (so in love)
And as...