Jamani....
Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa.
Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje...
Binafsi nakumbuka miaka ya 2002 enzi hizo kutongoza bila kuambatanisha na ka barua basi unaona hujatongoza sawasawa maana njia kuu zilikuwa mbili hiyo au kutuma watu wa karibu kufikisha ujumbe...
Hali zenu Wana JF.
Naomba kuuliza hasa wanawake wenzangu,ivi pindi mume wako anaposema Skukuu hii sina hela ya kukununulia nguo mpya ila Eid ilopita umepata nguo baada ya hapo ukaenda Holiday japo...
Out of curiosity...
Would you ever pay someone to vent out your issues from let's say marriage, financial , family etc.. Huyu MTU sio therapist or psychiatrist so sio certified just a person who...
Habarini zenu wanaJF,
Poleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika.
Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu.
Straight to the point; mimi ni kijana...
Mojakwamoja Kwenye mada husika.
imekuwa kawaida kwa baadhi ya akina dada wanapo wekeana mihadi ya kukutana namwisho wasiku wadada kupotelea kusiko julikana
hii hali ilitokea sana kati yamika ya...
Habarini Wadau,
Nilipokuwa mdogo nafikiri kati ya umri wa miaka 11 au 12 niliwahi kusikia mada kwenye Redio Tanzania ambapo mtangazaji mmoja aliuliza swali kuwa "Ni kwanini watu wengi wakiingia...
Habari zenu wadau,
Kuna kitu kinanitatiza, kufanya maamuzi maana naogopa fedhea maana tahadhari ni nzuri zaidi kuliko kukurupuka.
Mimi ni mfanyabiashara wa muda mrefu kidogo..nina kama miaka...
Mimi binafsi haijawahi kutokea,toka enzi za primary nilikuwa naombwa kwa ajili ya vibama,barafu nk,hivyo nilikuwa nadokoa home na kuwapa,ingawa tabia ya udokozi ilipelekea baba kuning'oa meno ya...
Jamani naombeni mnisaidie mwenzenu huyu mwanamke ni mapepo au mbona simuelewi
Kuna msichana flani wa kichaga yapita kama mwaka mmoja na nusu niko nae kwenye mahusiano,sasa kilichonileta hapa ni...
Ni matumaini yangu mu wazima na jumamosi hii tulivu.Tatizo langu kwenye hii sekta ya mapenzi ni kuona nampoteza huyu mpenzi wangu niliyejua ndo atakuwa mke wangu.Tatizo hili limeibuka baada ya...
[emoji427]SWALI[emoji427]
Quraan inasema
"arrijaalu qawwaamuna ala nnisaa"
je mume akishindwa majukumu ya nyumba mke afanye nini?
Hayo yote ni majukumu ya mume: Chakula kodi ya nyumba ada ya...
Habari wana jamvi,
Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy...
Iko hivi,
Enyi wadada, wengine mnajidhalilisha kupita kiasi. Kuna dada nimefahamiana naye mahali flani. Kweli nilivyomwona nilimwona ni mzuri sana kwa umbo, alafu ni mstaarabu (kwa hisia zangu...
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa...
Wakuu nawasalim,
Mimi na rafiki yangu fulani ambaye tumeivana nae kweli kwa mda, cha kushangaza rafiki yangu huyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada fulani hivi ambaye walitokea kupendana...
Niaje,
Humu labda niendee moja kwa moja kwenye mada, na hivi kuna msichana flani nilitokea kumpenda na nikaamua kumtokea, kwa bahati mbaya au nzuri alinikataa, na kwakuwa nilikuwa bize sana...
Unakosa amani na furaha. Unaona kama vile kila kitu hakiendi hata ukiambiwa umeongezewa mshahara bado hautafurahi na wengi wamefeli masomo yao katika kipindi hiki.
Lakini ukimkosea Mungu...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, nilitokea kumpenda binti mmoja ambae nilisoma nae sasa ikaja ivi yule binti akanipenda pia lakini nikawa namchukulia poa sana ikafika muda akachoka na mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.