dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,072
Kuna kitu nimejifunza kama huna moyo wa kiume usijarbu kumspy mpenz wako maana utakufa na presha
nna mdogo wangu naish nae gheto ana manz wake lkn akawa hamuelew basi nikamshauri kwann tusimtrack watsapp?? akakubali dem alivokuja gheto jamaa akamuazima manz sim yake kiujanja bila kushtukia then tukaiconnect watsapp yake na pc yetu bila kushtukiwa
baada ya dem kusepa kaz ikaanza,,,dah dogo nusu afe kwa mapresha
1.sometym dem anamuambia analala wanaagana vzr tu kwakua sie ni jamaa ni mpenz wa muvie basi anakua macho mpaka night kali cha kushngaza dem ndo mda huo anakua online anachat na wanaume wake hapo dogo anapata txt zote akimuuliza mbona jana ulikua online siku nzma dem anajitetea nililala sikizima data halafu nilikua online dogo anajidai fala hilo linapita
2.dem anachat na ma ex wake kimahaba kila zile za kukumbushiana zama mara sijui ulikua hv dem nae anatoa tu ushirikiano jamaa full kuchanganyikiwa hapa
3. meetin za kwenda lodge hapa ndo dogo alipochoka dem anapanga kwenda lodge huku anamuaga mshkaji labda leo naenda kutembea kwa ndugu flan so ntakua namsaidia kaz huko ntashndwa kua active na sim
kiukweli dogo nikaanza kumuonea huruma maana alikua halali kama ana watsapp mbili ikiingia txt za dogo lazma aamke aanze kusoma usiku ule mm nasikia tu mtu anasonya najichkea kitandan kwangu
ikabd nimshaur wapigane tu chini hamna namna cha ajabu dem akaja kwangu kama shemeji nikamuombee msamaha kwa mdogo wangu hapa ndo nilipochoka nikampa tu moyo bt sijafanya hvo hadi leo sema manz anaamin nimejarbu nikashndwa na pia hata story ya ugomvi wao akaitwist kuonesha mdogo wangu ndo mkorofi akat dogo mie alikua ananionesha convo zote
wanaume wenzangu kama manz huna mipango nae usimfatilie kama una piga ww piga then sepa mtakuja kufa bijana na presha
Sent using Jamii Forums mobile app