Msaada wa kufunga ndoa

Msaada wa kufunga ndoa

shangwe1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
449
Reaction score
367
Ndugu zangu natarajia kufunga pingu za maisha mwenzi wa 12 na maandalizi ya sendoff ya mama watoto wangu yashaanza...twende kwenye point kama nilivyosema hapo juu ila nataka kufunga hii ndoa bila ya mchango wowote ule kutoka kwa marafiki na jamaa (mchango wa pesa) ila nitagawa card za mwaliko na hizo kadi nataka ziwe 100 kwa maana hiyo ndoa yangu nataka iwe na watu 100 tuu sababu ya kufanya hivi ni kwamba nipo mbali na nyumbani yaani tanzania na natarajia kurudi mwenzi wa 11 kwahiyo nimeona kuwaambia watu wakuchangie kwa mwenzi mmoja kwa hali iliopo sasahv tanzania ni shida..Sasa kwa wenye uzoefu na mambo haya naomba mniambie na mnipe ushaurii hapa....sherehe ya watu mia inaweza kugharimu shilingi ngapi?? Ni harusi ya kawaida tuu...msaada tafadhali kwa wazoefu natanguliza shukrani za dhati kwenu asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la heri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Sana hongera,

Mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini kwa harakahara ili uwasaidie wanajukwaa kukupa ushauri, lazima utuambie kwanza unataka nini na nini mfano; chakula
Vinyaji, is it cocktail au royal wedding nk.

Lakini pia kuna event planners nadhani wanaweza kukusaidia.

Nawasilisha.
 
Harus ni Pesa Yako kwetu uswaz hata million Mbili Inatosha, ila wewe Mwenyewe Ndio useme umejipangaje Ndio watu tukuchambulie vizur (umepanga iwe ya budget ya sh ngap)
 
Mkuu Sana hongera,

Mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini kwa harakahara ili uwasaidie wanajukwaa kukupa ushauri, lazima utuambie kwanza unataka nini na nini mfano; chakula
Vinyaji, is it cocktail au royal wedding nk.

Lakini pia kuna event planners nadhani wanaweza kukusaidia.

Nawasilisha.
Nashukuru mkuu..kwa vitu ambavyo naviitaji ni usafiri,,chakula,,vinywaji na ukumbi nadhani hivyo muhimu mkuu swala la mavazii hilo lipo nje ya hiv vitu nilivyovitaja hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Budget ya million 4

Chakula unatafuta catering ya bei rahisi sahan 10000 jumla 1 mil
Mc na music unatafuta chini ya laki 3 wapo.
Ukumbi usizid 500000
Vinjwaji pombe Usiweke, budget ya Vinjwaji laki 3 na champagne ikiwepo
Ukumbi mapambo usizid Lak 3
Cake ya Lak 1
Still picture na video budget isizd Lak 5
Kipi Nimesahau.

Hapo inategemea mavaz ya bibi Harus,saloon na wewe Mwenyewe IPo hapohapo au pemben
 
Hiyo sherehe unataka kuifanyia wapi. na jee huyo unae muoa ni mtanzania ama?
Mara nyingi harusi za watu ambao sio watanzania mara nyingi huwa hawashangishani.
Niliwahi kushuhudia harusi moja, mdada alialika marafiki zake kutoka US, sasa wakati harusi inaendelea MC akatangaza ni mda wa kutoa zawadi, akaanza kuita watu. bibi harus alipigwa na butwa kwani hakutegemea.......
 
Yaani hiyo harusi kama haina ulevi ukinialika siji, nani aje kunywa juice... Haloooo
 
Budget ya million 4

Chakula unatafuta catering ya bei rahisi sahan 10000 jumla 1 mil
Mc na music unatafuta chini ya laki 3 wapo.
Ukumbi usizid 500000
Vinjwaji pombe Usiweke, budget ya Vinjwaji laki 3 na champagne ikiwepo
Ukumbi mapambo usizid Lak 3
Cake ya Lak 1
Still picture na video budget isizd Lak 5
Kipi Nimesahau.

Hapo inategemea mavaz ya bibi Harus,saloon na wewe Mwenyewe IPo hapohapo au pemben
Asante sana kwa ushauri wako kuhusu mavazi ni nje ya hapo nakushukuru sana kwa ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sherehe unataka kuifanyia wapi. na jee huyo unae muoa ni mtanzania ama?
Mara nyingi harusi za watu ambao sio watanzania mara nyingi huwa hawashangishani.
Niliwahi kushuhudia harusi moja, mdada alialika marafiki zake kutoka US, sasa wakati harusi inaendelea MC akatangaza ni mda wa kutoa zawadi, akaanza kuita watu. bibi harus alipigwa na butwa kwani hakutegemea.......
Ni mtanzania mkuu tena ni mchaga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom