Ole wao wanaotazama sex (chonda)

Ole wao wanaotazama sex (chonda)

Petabyte186

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
91
Reaction score
36
Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye
Hadithi ya Mtume wa Allah -rehma za Allah na amani zimshukie- kuwa "zinaa ya jicho ni kuangalia". Imepokewa na Imam Bukhari, Muslim na wengineo. Na wenye wamesema hapana tafauti baina ya kuangalia yaliyo haramu moja kwa moja au kupitia kioo cha TV, pazia la sinema, n.k.

Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye .kuna binti mmoja ambae alikuwa mtoto mwema kipindi cha sala hakimpiti anasifikana kwa tabia nzuri .siku yake ilifika ya kuaga dunia kwani hakika kila nafsi itaonja mauti wakazika.

Kuna kijana alipoteza pochi yake ambayo ilikuwa ina kadi zake muhimu na ni katika walioingia ndani ya kaburi kuzika kwa hiyo wasiwasi wake mkubwa ni kuwa pochi imemdondoka mule ,wakaulizia kuwa inafaa kwenda kufukua jibu likawa ndio ikiwa una uhakika ni humo na vitu muhimu kwa hiyo wakenda na kaka wa marehemu ,wakachimba na humo ndani waliliona bonge la joka limemzonga marehemu walishtushwa sana na kukimbia, kaka wa marehemu alistajabishwa sana kuona mambo yale wakati dada ake alikuwa mcha Mungu ikabidi amfuate shekhe kujua sababu, shehe nae akauliza maswali yake na majibu yote yalikuwa mazuri mfano alikuwa akijistiri, anasali.

Basi ikabiri aamuru kusachiwa chumba chake, chumba hakikuönekana vitu vya ajabu ila kulikuwa na cd ambaze shehe akaamuru zitiwe kwenye tv yake humo chumbani , matokeo ni kwamba zile cd ni za mambo machafu za x kwa hiyo shehe akawaeleka hii ndio kazi ya mtoto wenu aliyokuwa akiifanya na sababu ya joka kaburini ndio hii.

NDUGU YANGU MUISLAM KUMBUSHA KWANI HII SMS UTAPOITUMA HUWEZIJUA MATUNDA MAZURI UTAKAYOKWENDA KUJIVUNIA KESHO. Jamani jamani hata kutizama picha za uchi tu wa mwanamke na mwanamme haifai. KWA HIYO TUTUMIENI SIMU ZETU KWA KUELIMISHANA NA SIO KUPOTOSHANA KWA KUZANI KUWA TUNACHEKESHANA. ALLAH NDIE ATAKAE KULIPA INSHAALLAH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli weye waona kuwa hii nayo ni kitu ya kuleta humu?? Joka lilikuwa linamfanyaje marehemu tena ambaye udongo tani saba uu juu yake?? Lilimzingiraje?? Mengine tafteni wa kuogofisha ila si wote. Hao wanawake haki yao ila mimi nimeahidiwa mabikra 72 hukooooo
 
Kila nisomapo mafundisho, kila nisikilizapo mawaidha huwa ni ya vitisho kwa kwenda mbele.
Hivi maiti, kaburi, sijui majoka ya kutisha! Mambo ya duniani yote hayo yanahusianaje na adhabu ya marehemu mtenda dhambi ambaye sasa baada ya kufariki anasubiria hukumu ya khiama?
M/Mungu wa haki awezaje kuadhibu mara mbilimbili?
Mafundisho yenu mara nyingi yanakanganya ni ya kusadikika hayahojiki ili kupata ukweli dhahiri usiotia shaka.
Ni vitisho, vitisho, vitisho kwa kwenda mbele.
 
Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye
Hadithi ya Mtume wa Allah -rehma za Allah na amani zimshukie- kuwa "zinaa ya jicho ni kuangalia". Imepokewa na Imam Bukhari, Muslim na wengineo. Na wenye wamesema hapana tafauti baina ya kuangalia yaliyo haramu moja kwa moja au kupitia kioo cha TV, pazia la sinema, n.k.

Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye .kuna binti mmoja ambae alikuwa mtoto mwema kipindi cha sala hakimpiti anasifikana kwa tabia nzuri .siku yake ilifika ya kuaga dunia kwani hakika kila nafsi itaonja mauti wakazika. Kuna kijana alipoteza pochi yake ambayo ilikuwa ina kadi zake muhimu na ni katika walioingia ndani ya kaburi kuzika kwa hiyo wasiwasi wake mkubwa ni kuwa pochi imemdondoka mule ,wakaulizia kuwa inafaa kwenda kufukua jibu likawa ndio ikiwa una uhakika ni humo na vitu muhimu kwa hiyo wakenda na kaka wa marehemu ,wakachimba na humo ndani waliliona bonge la joka limemzonga marehemu walishtushwa sana na kukimbia, kaka wa marehemu alistajabishwa sana kuona mambo yale wakati dada ake alikuwa mcha Mungu ikabidi amfuate shekhe kujua sababu, shehe nae akauliza maswali yake na majibu yote yalikuwa mazuri mfano alikuwa akijistiri, anasali. Basi ikabiri aamuru kusachiwa chumba chake, chumba hakikuönekana vitu vya ajabu ila kulikuwa na cd ambaze shehe akaamuru zitiwe kwenye tv yake humo chumbani , matokeo ni kwamba zile cd ni za mambo machafu za x kwa hiyo shehe akawaeleka hii ndio kazi ya mtoto wenu aliyokuwa akiifanya na sababu ya joka kaburini ndio hii. NDUGU YANGU MUISLAM KUMBUSHA KWANI HII SMS UTAPOITUMA HUWEZIJUA MATUNDA MAZURI UTAKAYOKWENDA KUJIVUNIA KESHO. Jamani jamani hata kutizama picha za uchi tu wa mwanamke na mwanamme haifai. KWA HIYO TUTUMIENI SIMU ZETU KWA KUELIMISHANA NA SIO KUPOTOSHANA KWA KUZANI KUWA TUNACHEKESHANA. ALLAH NDIE ATAKAE KULIPA INSHAALLAH

Sent using Jamii Forums mobile app
Allah na binamu wake Yahwe ni miungu wa vitisho na mikwara sana... Huwa siwaaminigi most of the time!
Tukutane Ponhabu.
 
Tafadhal saaaana usitaamke usio ya jua. Na usivuke mipaka kujifanya una tusi imani za watu. Tafadhali mtume wetu mwache hujui hadhi yake nyamaza kimya. Sio kila porojo ni hoja.
Huyo mtume wako alioa binti wa miaka 9,yaan alibaka, so hatuachi kuangalia porn mtusamehe na mtume wenu
 
Back
Top Bottom