Sikilizeni wanawake msitusumbue, kama manataka tuwaoe bure

Sikilizeni wanawake msitusumbue, kama manataka tuwaoe bure

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Siku hizi wanawake wanajifanya wana sauti sana kwa wanaume wao, wana midomo hao!! lakini ni kosa la baadhi ya wanaume kuishi na mwanamke kidhaifu na kizembe zembe.

Ni hivi tunawaoa kwa kuwalipia mahari tena siku hizi mamilioni ya pesa, mmewahi kujiuliza kwanini? Sasa mnapotaka kushindana na kuleta usawa wakati mi nimekuoa kwa pesa nawe umeolewa tu bure hiyo haiwezekani, kabla ya kuandamana na kudai haki ya kuwepo na zamu za kupika, kudeki, kufua na zingine hebu andamaneni kwanza kufuta mahari tunayowalipia.

Mwanamke bora ni yule anayesimama kwenye nafasi yake, hata miguu ni muhimu sana kwa binadamu lakini ikikaa shingoni inapoteza maana na jina linabadilika unaitwa mlemavu, the same kwa mwanamke, akikaa kwenye nafasi yake ni kiumbe mtamu sana, but akijifanya mjuaji sana ni ulemavu aseee... ruksa kufanya unavyoweza kuunyoosha, ikishindikana piga chini.

Na kama kuna mwanaume bado unaishi maisha ya kitumwa kwa mwanamke wako wewe ni simbilisi tu, kabisa yaani... how possible yaani mwanamke anakuendesha, inawezekanaje yaani, daah yaani kabisa mwanamke anakujibu anavyojisikia, kweli?? sijui nisemeje yaani..

Siku mwanamke wangu akianza hizo dharau sijui kuniambia masuala ya zamu ya kupika sijui kufua ndo siku rasmi nitakayokua mfungwa kwa kosa la kuua.

Nampenda mwanamke wangu lakini kunipanda kichwani ndo haipo hiyo,mimi ni MWANAUME nimeumbwa kuongoza, nipe nafasi nikuongeze kama unaona sikufai basi kiroho safi tu unajiondoa ila dharau no

Mimi ni mwanaume wa karne ya 17. wanaume wa karne hii naona wengi kama wanawake tu, tofauti yao kubwa ni kukojoa huku wamesimama, ila kwenye maamuzi na uthubutu ni kama wote ni sawa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cc; sexless na wengine wote mliokua mnasupport uzi wake njoeni huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mahali ndio pesa ya kuninunulia, aise kama ndivyo me naomba igawiwe kwa siku ikiisha basi tu renew mahali kama vipi..

Au me ikifika staki mahali tukapambane na hali zetu huko mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee......

hata bure sikutaki subiri niamue....
 
Kama unajijua ni dhaifu tafuta mdhaifu zaid yako hapo mtaishi...
U r too weak to bear a strong woman always utaona anakuendesha tu
 
Alooo braza umetema cheche balaaa

LOVE ABOVE ALL[emoji173]
 
Karne ya 17 na bado upo, kama kweli utakua mhenga ila kama sio kweli na wewe ni miongoni mwa hao uliosema wanaume kama wanawake

sent from my Tecno W3
 
Dah! Umetoa ya moyon et!??? Ila kwa upande wang mm kama mwanamke nnamajukumu yang na pia kweny nyumb na yeye ana yake aitawai kutokea nbshane nae vitu kma hvyo hata siku1 siwez!! Kwanza naanzaje kwa mfano????
 
Back
Top Bottom