Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,410
- 2,735
A true story;
Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta wanapigana kisa ni kondakta wake huyo wa zamani kamweleza namna alivyo tembea na mke wa boss wake huyo (dereva) alimwambia siku aliyotembea na mke wake namna alivyovyovaa na uongo aliotunga mkewe,maneno hayo yalimchoma sana huyu mwenye mke ikabidi arudi nyumbani na kumtandika vibaya mkewe ambae ametoroka na hajarudi mpaka jioni,baada ya hapo akarudi stendi na kuanzisha ugomvi na kondakta huyo ambao ulikuwa ni mkali sana kiasi ambacho yule mtuhumiwa ikabidi akimbilie polisi, imeniuma sana najiuliza huyu bwana (kondakta) amepata wapi ujasiri wa kusema kwa wazi uhalifu wake namna ile na uaminifu kwenye ndoa uko wapi,na vipi hatima ya ndoa hii
Sent using Jamii Forums mobile app