Asante mpenzi wangu wa zamani

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,689
12,389
Nimevumilia sana mpaka nikatamani jf nisiingie tena ila leo umenifanya nilie kama ile siku nilivyoachwa na boyfriend wangu baada ya wewe kumwambia uliyomwambia.

Pamoja na ukorofi wangu Dear ex wewe ndo ulikuwa wa kwanza kuwa na mwanamke nje na nilikuta msg zako na ndo ukorofi ulianzia hapo.

Dear ex nilikueleza sababu ya kwenda kule ni kwasababu vitu vilivyoibiwa havikuwa vyangu na nilipelekwa na mwenye navyo kwamba kama nimeficha basi ile yamini inirudie mimi.

Dear ex nilikuambia i did so sababu nilikua masomoni.nilikataliwa

why umpe boyfriend wangu information za uongo why
niliachana na wewe baada ya kukuta unawasiliana na yule mwanamke wa kwanza kuhusu jinsi ya wewe kwenda kujitambulisha kwao nilipanik na nilikutisha lakini baadae nilikwambia its nothing nikatulia na namba nikabadili.

Dear ex nadhan wiki chache zilizopita ulikua chanzo cha mimi kuachwa kwa machungu na boyfriend wangu ambaye kiukweli sijampenda kwa kigezo chochote nimempenda jinsi alivyo.

sitaki kusema udhaifu wako hapa lakini kwanini umuambie ya kwangu na mengi uliyosema ni ya uongo hasa la leo lililofanya niandike waraka huu.
nilitamani kujiua hii yote ni kwa sababu yako dear ex,
nashukuluru kwa kufanya niliyekua nadhani nitalala nae njaa na kutembea nae juani mpaka kifo kitutenganishe na yeye sasa hivi ni DEAR EX.
 
pole masai dada ila take care usije ukachukua maamuzi mabaya wote waliopo humu wahanga wa mapenzi (me excluded) na wameweza ku survive kiubishi why not you? relax utampata akupendae kwa dhati
 
Dear Ex shemeji acha umbea ona sasa umemuharibia shost uhusiano wake....
pole mama yoyoo!!!
 
Saa ingine utamu wa mapenzi ni kuumia,ila ex wako ndezi, umbea wa nn tena kidume...aghjktykuvy ntamtusi!!
 
Back
Top Bottom