Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za usiku wanandugu wenzangu. Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari zenu watu wa Mungu, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa Arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu...
7 Reactions
207 Replies
19K Views
Kuna baadhi ya watu mimi nashindwa kuwaelewa, unakuta mke/mume/girlfriend/boyfriend/mchumba kachepuka na amefahamu na kuthibitisha. Cha ajabu badala ya kudeal na mtu wako anamfwatilia yule...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Whatsup guys, jamani mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 nimepata mwanamke wa kizungu from Australia ananipenda saana mpaka naogopa na pia ananisaidia saana baadhi ya mambo kama kuna kipindi nilipata...
5 Reactions
116 Replies
15K Views
Habari wana JF, Kichwa cha habari kinajieleza, Najua wengi wetu tumepitia katika tongozo mbali mbali, najua zipo tafiti mbali mbali zimefanyika na zitaendelea kufanyika (ofcause siyo hapa...
3 Reactions
81 Replies
21K Views
Mimi ni kijana mwenye umri 25 ninapenda Sana nipate mwanamke ambaye yupo tayari kuwa na Mm Mm ni mwajiriwa Kuhusu dini sichagui dini wala kabila umri kuanzia miaka 18 mpaka22 Uko tayari nipm...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Habari za usiku huu wana JF, Tangu nijiunge na JF nimebahatika kuona thread kadhaa za wanaume walioleta mrejesho baada ya kutangaza kutafuta mke japo wengine wamepotea bila kurudi lakini miongoni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajanvi, Namkaribisha Pm mwanamke aliyetayari kwa moyo wake wote na siyo kwa kujaribu, awe mweupe wastani, mrefu, mwembamba na elimu kuanzia form six na kuendelea. Sifa zangu mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Naitwa Loveness Senzigwa nipo Usariver Arusha nahitaji nipate mchumba mwenye upendo wa dhati, nipo na mtoto mmoja wa kiume umri wake miaka minne, nahitaji mwenza tuweze kuanza maisha dini awe...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Naitwa Selemani niko Dar umri miaka 26 natafuta mchumba awe mfupi kidogo, mnene kidogo, mweupe au maji ya kunde na awe mwelewa na mkweli. Tuwasiliane kwa namba hii 0717188605.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Looking for a girlfriend aged 20-25yrs,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,, natafuta rafiki wa kike,, kwa aliye tayari anicheki kwa simu Namba 0744554155.. Dini Yeyote, elimu Yeyote
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe na miaka 21 mpaka 26 elimu kuanzia kidato cha nne asiyejichubua aliye interest tuwasiliane pm plz. Sent using...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Ni wilaya ilioko kaskazini magharibi mwa nchi hii -Tarime.Kuna story nyingi kuhusu wilaya hii hasa kunapohusika suala la mapenzi/Mahusiano. Watu wa Tarime wanajua kupenda na hiyo haijalishi mtu...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
1: Hivi inakuwaje unakutana na mtu mnaelewana kabisa na unaona huyu mtapatana vyema,,kuna vitu mnakua vinafanana Kuna mwingine ukionana nae tu hutaki tena kumsikia ,,unaona anakuboa tu Nieleweke...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Dah ndugu zangu hili jambo lilianzaga kama utani na wala sikuwahi kulitilia maanani,nimekuwa nikikaa jirani na wanawake wa watu wanakuwa wananipenda sana.... Kama mara tatu tofauti nimepitiwa...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia moja tu, kukumega, kukuchapa, na kukushikisha adabu...
34 Reactions
146 Replies
14K Views
HABARI za mda huu usiku tulivu Naomba niende direct kwenye mada Mimi ni kijana mwanzoni kipindi nipo O level niliwahi kuwa na uhusiano na msichana mmoja ila yeye alikua anasoma shule ya jirani...
6 Reactions
190 Replies
17K Views
Natumai wote ni salama, Kuna mambo mengi wanaume tunayafanya ili kuonyesha umaarufu wetu wa kiuanaume ila mengine yanakera kati ya mambo haya ni hili la kujipiga kifua kwa kufanikiwa kumega tunda...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Eti unajiua kunywa sumu au kujidhuru kisa mapenzi looooh unachekesha kweli ww Nikiangalia mji wa dar es sallam ulivyojaa mahendsome na mabeutiful eti wewe kinyago unifanye nilie khaaaa Wanasema...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii ipo kwenye damu kucheat au kujiendeleza tu???[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom