Wanaume tubadilike

the viking

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
1,170
1,372
Natumai wote ni salama,

Kuna mambo mengi wanaume tunayafanya ili kuonyesha umaarufu wetu wa kiuanaume ila mengine yanakera kati ya mambo haya ni hili la kujipiga kifua kwa kufanikiwa kumega tunda la mwanamke au wanawake fulani ila si uungwana kabisa kusimulia kwa kila yeyote kuwa umefanikiwa hivyo basi nawaulizeni wanaume tuache hii tabia ya kiuvulana kama hujalala na mwanamke fulani, acha kutangaza umelala naye na kama kweli umefanikiwa kulala naye, acha kutangaza umelala naye ndiyo uanaume.

Naombeni kuwasilisha ili tupate kupeana maoni katika suala hili asante kina dada pia tunataka maoni yenu hivyo mnakaribishwa.
 
Mkuu mada yako imenitouch saana.

Mfano mimi kiukweli mwanamke niliyepata kulala naye ni mama yangu nilipokuwa mdogo. Mwingine hata sijawahi.
kama nakuona vile..we Daby huaminiki...
 
ila kweli hii tabia ikufee,,coz unaeza megewa mkeo alaf wakatangaza....inaumaje.....bora tu wale nisijue
 
Back
Top Bottom