platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,154
Ni wilaya ilioko kaskazini magharibi mwa nchi hii -Tarime.Kuna story nyingi kuhusu wilaya hii hasa kunapohusika suala la mapenzi/Mahusiano.
Watu wa Tarime wanajua kupenda na hiyo haijalishi mtu anaishi Tarime kama mzawa au mhamiaji.Maadam ni mwanatarime basi lazima ataakisi tabia njema za Tarimeville. Najua wengi wanachofikiri ni vipigo kwa wanawake vinavyotangazwa kwenye vyombo vya habari,lakini hilo tone la kibaba cha chumvi ndani ya bahari!
Wanaume wana character za kiume zilizokamilika - "sio too emotional" wanajua position zao kama mwanaume uliekamilika:
1.Hawalilii uhusiano unapovunjika
2.Hulinda mahusiano yao (huwezi kutia pua kwenye ndoa yake kama unapenda kuishi).
3.Wachapa kazi
4.Wana msimamo (hii inahitajika sana hasa kwa mwenzi asiyeeleweka au kicheche).
5.Wanajua timetable kunakohusika ngono (fast,energy and perfomance).
6.Huchukua maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Wanawake nao safi sana na hizi ni sehemu ya sifa zao;
1.Wavumilivu
2.Wachapa kazi
3.wanajiheshimu
4.Hawana wivu wa kijinga
5.N.k
Nenda Tarime ukajionee mwenyewe na hautojuta kumpata mwandani wako.
I miss my birth place.