Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imethibitika! Baada ya kumwacha huyu mwanamke kwa sababu ya kuvaa kikuku, alinitolea lawama nyingi saaaaana huku akinibembeleza kwa machozi na kila namna ili aokoe penzi tu Basi nikaona hii iwe...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Wakuu, Nipo groups kadhaa za WhatsApp kwa ajili ya kushea mambo mbalimbali ya kijamii. Kuna kundi nipo na vijana wenzangu machekibob. Hawa wengi wao tupo lika moja tunashea mambo ya "ujana" na...
6 Reactions
154 Replies
13K Views
Toka jmatatu hajanitumia txt wala kunipigia cm mim kidume ndo nilikua nampigia lakn cm inakua bize akipokea ata ikiwa saa 2 usiku anasema anataka kulala jana usiku nmempigia hajapokea cha...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hamjambo wadau. Unajua kuna baadhi ya mahusiano hufa au kuvunjika kwasababu tu mmoja au wote wawili ni wabwatukaji au ni watu wasio na vifua vya kutunziana siri. kuna baadhi ya mambo katika...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba mnipe ushauri sahihi.... Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili... Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao wao...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Wadau ujue kila mtu huwa ana chakula fulani ambacho hakipendi na huenda akawa ameshajiwekea limitation kwamba hatokuja kukila kamwe!!. Lakini katika hali isiyo ya kawaida maranyingine huwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na misukosuko ya maisha, ukosefu wa chakula, magonjwa na kipato inaelezwa kuwa ndiyo sababu ya bara la Afrika kuwa la mwisho kwenye orodha ya nchi zenye...
5 Reactions
130 Replies
22K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kusema naunga mkono kutafuta mchumba mtandaoni kwa sababu huu ndo wakati wake kama wazazi wetu walipopiga safari ndefu kuwatafuta wenzi wao mbaali wengine hata wakikutana...
10 Reactions
47 Replies
15K Views
Suala la Kusalitiwa na kupelekea kujinyonga, kijiua kisa mapenzi kivyovyote linatokana na kumwamini sana mwanamke. Usijaribu kabisa kufanya hivyo. Mwanamke Haaminiki, anaweza pewa pesa, Mashine...
14 Reactions
105 Replies
15K Views
Siku kadhaa zilizopita nlituma thread kuwa nlifanya kituko cha mwaka kumrushia mama mkwe meseji yenye kuelekeza kuwa narudi toka safarini nimkute amevua nguo kabisa maana nimemmiss na awe...
13 Reactions
72 Replies
9K Views
✍️
1 Reactions
244 Replies
18K Views
habari wapenda humu jamvini ikiwa imebaki siku kama tatu ivi kabla ya iddy leo nmekumbuka huu mkasa ulionikuta kijijini kwetu nyamswa huko bunda mwaka 2008 siku mbili kabla ya iddy tulivovamiwa...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Eti wanaume ni Malighafi! Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wadau.. wadada na jinsia ke wote hii statement ni kweli?? tupo tunapata mbili tatu za weekend ndefu katika story jamaa yetu anakwambia kila akiongea na mdada akamgusia mahusiano...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina rafiki/ ndugu ambaye nilisimamia harusi yake(best man) miaka mitano iliyopita, kwa sasa wana watoto wawili. Tatizo lilianza pale mume alipogundua mke ana madeni sana, anadaiwa na watu...
2 Reactions
99 Replies
7K Views
mambo vp wana mmu jaman naomba niende direct kwenye hoja niwe muwaz jamani kwa uchunguzi nilioufanya sehem mbalimbali siku hizi wanaume wengi hatuna uwezo wa kupiga round zaid ya tatu kunako...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo. Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema. Mume humuwekea...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika. Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Tuone hapo nani atakuwa mshindi maana kuna wanawake ambao wana sehemu kubwa za siri ata uje na ogo la kufa mtu watasema una kibamia. Na kuna wanaume wenye sehemu za siri ndogo wenyewe wanajiamini...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
nimekuwa nikiwaza kuwa hivi haiwezekani kabisa tunakubaliana kuanzisha uhusiano. wewe una kazi yako nami ninayo ya kwangu. kila mtu anajua mshahara wake na anajua anautumiaje. basi sisi tunakutana...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom