Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari wandugu!, kama kichwa cha habari kinavyoeleza,napenda nianze na mfano wa tukio lililonitokea juzi,siku hiyo ya weakend nilikwenda kwenye club moja hivi ya starehe nikiwa pamoja na...
18 Reactions
101 Replies
10K Views
Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke? Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona. Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya...
9 Reactions
151 Replies
13K Views
Salaam wadau Naingia kwenye habari moja kwa moja nina mchepuko ambao nimepata naye mtoto mmoja wa kike sasa jana jioni kama kawaida lazima nipite na kuwajulia hali na kuwaachia chochote kitu cha...
17 Reactions
142 Replies
12K Views
Moja kati ya makosa makubwa kwenye maisha ya wana ndoa ni kumlinganisha mwenzi wako na mwanaume/mwanamke mwingine "Si ufanye kama mama James" "Mbona baba James kamnunulia mkewe, we unashindwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31nimeajiliwa serikalini nipo Dar natafuta mchumba wa kike kwa ajili ya kuoa hapo baadae awe na umri 24 -26 elimu kidato cha nne kuendelea, aliye interested tuwasiliane pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mademu watatuita tofauti wamewahi kunambia mi mtata Sana, nikitaka kujua nini maana ya utata hawajibu zaidi ya kunizungusha, wahenga nijibuni tafadhal I... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Nahitaji rafiki aliye arusha bila kujali jinsia yake. 0713563660 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ila kiukweli mapenzi mabaya sana... Kuna muda mtu unampata mtu na unajipa moyo kwamba pengine huyu sawa, ghafla anaanza anakuwa karibu na anaanza kuziteka hisia...unapiga moyo konde na kuamua...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Acheni utani kueni serious, wengine ni kweli wanatafuta wenza na marafiki wengine wanafanya utani acheni jamani kuna watu wanashida kweli. Post sent using JamiiForums mobile app
3 Reactions
5 Replies
898 Views
Serious please. Age: 21-26. Education: Not necessary. Tribe: Any. Marital status: Any. *ADDITIONAL QUALIFICATIONS:* Uwe mfupi au mrefu kiasi. Usiwe na mtoto, na kama unaye, basi mmoja na si...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo...
25 Reactions
350 Replies
21K Views
Jamaa alikuwa mwalimu wa high school mkoani, alipata nafasi ya kuja kusoma shahada ya uzamili USDM. Rafiki yake aliyesoma nae first degree alimwambia bwana usihangaike kutafuta nyumba tutakaa...
16 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanajamii forums mlio bagamoyo kesho saa nne asubuh ntakuwa huko kwa muda wa week mbili. Natafuta rafiki wa kike mwanamke mwenyeji ambaye atakuwa so kind kunionesha mji. Ni mara yangu ya kwanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita. awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia. kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Kuna binti nimekutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukaanza kuchati kwa siku chache akaanza kunitumia picha za ngono ikiwemo zake yeye binafsi haikuishia hapo akanambia ananipenda na ananihitaji...
0 Reactions
112 Replies
22K Views
Nina umri wa miaka 23. Kazi yangu mfugaji nipo Bariadi. Elimu yangu darasa la saba..lakini sitofautiani na mwenye PHD. Dini yangu mkristo. Kijana mrefu mweusi kiasi. Kabila langu msukuma wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
RIWAYA: KONSTEBO NGUZU NA: George Iron Mosenya "Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipa timu yangu...
4 Reactions
210 Replies
47K Views
Back
Top Bottom