Kwenu nyie mnaopata presha mkitendwa au mkiachwa na wapenzi wenu

Ray waniache

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
737
507
Eti unajiua kunywa sumu au kujidhuru kisa mapenzi looooh unachekesha kweli ww
Nikiangalia mji wa dar es sallam ulivyojaa mahendsome na mabeutiful eti wewe kinyago unifanye nilie khaaaa
Wanasema kila kijiti na utamu wake hapa dar kila mtaa una mahb na macute tena wapo mamilioni nchi hii eti ww unipe shida
Nizaliwe mwenyewe halafu nijiue kisa mtu au kujidhuru
Hakyamungu kuachwa kupo au kuachana na mtu au kumwacha mtu kwa 7bu maalum ila sio kujidhuru au kukondea mwili kisa mtu
Poleni mnaojiua na kujidhuru kisa mapenzi mwenzenu hiyo habari sina ukinishinda pita hivi wazuri wamejaa kibao swagga zako tu
Watu wengi hamjuagi tu kuwa mapenzi kila siku yanazaliwa upya
Soln nzur ya kupata brand new unayoipenda more than yule uliyeachana nae ni kumove yaani nenda sehemu tofaut na ile unayoishi utampata tu maana kila mtaa una madini hahahaha
Mapenzi mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom