Mwanamke aliye na nia ya dhati, anakaribishwa

Don 01

Member
Feb 23, 2017
27
24
Habari wanajanvi,

Namkaribisha Pm mwanamke aliyetayari kwa moyo wake wote na siyo kwa kujaribu, awe mweupe wastani, mrefu, mwembamba na elimu kuanzia form six na kuendelea. Sifa zangu mimi ni mrefu, elimu ya chuo na ninatokea Kanda ya ziwa. Kwa aliye tayari anakaribishwa sana ila ujue nini unataka na siyo kujaribu.
Fanya kila jambo kwa Imani na siyo kusema ngoja nijaribu labda nitapata, utajikuta unajaribu sana mpaka unakata tamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom