Nyota ya kifo kupendwa na wake za watu

Nyota ya kifo kupendwa na wake za watu

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
528
Dah ndugu zangu hili jambo lilianzaga kama utani na wala sikuwahi kulitilia maanani,nimekuwa nikikaa jirani na wanawake wa watu wanakuwa wananipenda sana....
Kama mara tatu tofauti nimepitiwa nimetoka nao,lakini mara mbili nyingine nilifichwa baadae nikaja kugundua mwenyewe kuwa ni wake za watu...
Sasa najiuliza hivi hii ni kawaida au inakuwaje,ningesema coincidence lakini zaidi ya mara tano!!!!!....sio kweli.
Juzi nilitumiwa text kwenye fb messenger na dada mmoja namfahamu,na wala hatuna mazoea ila ni wa mtaani ana kaduka kake hapo,kaniomba number na yeye amefunguka kuwa ni muda mrefu ameniona na amefurahia sana kuwa jirani na mimi.....
What exactly is going on here....
Najitakia mwanamke wa kwangu ambaye hajaolewa sitaki matatizo na watu jamani...nipeni ushauri.

by emma mjasiriamali
 
mke wa mtu sumu hata kama getho una maziwa hiyo sumu ni hatari kwa afya.
Mkuu hili jambo linawezekana kucontrol...
My say ni why ipo hivyo mwanamke anakuzimia hatari.

by emma mjasiriamali
 
Mkuu naona unatafuta uhanisi wa kujitakia.... Jaribu kukaa mbalii na ikiwezekana punguza au kata kabisa mawasiliano na hao wake za watu..... za mwizi huwa ni arobaini sasa naona wazi unaitafuta hiyo arobaini kwa udi na uvumba badala ya kuikimbia.....
 
Back
Top Bottom