Dunia hii

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,345
Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon Ameomba ruhusa kwa boss kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja abele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.

Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.

Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile

Ungempa ushauri gani?
 
Ndio basi tena wanampumulia kisogoni bwana yake.!!

Hapo ndio ule usemi wa shida na raha unachukua hatimiliki...
 
H
Mume hataki kuachwa na mkewe
Aisee umenikumbusha kuna mtoto wa kigogo mmoja wa polisi, aliolewa na kijana shoga,dada wa watu ashangaa apewi gemu,wiki,mwezi,jamaa safari za nje kila leo,ikabidi dada afikishe malalamiko kwa mzee wake,jamaa akawekewa mtego na watu wa usalama hoteli moja hivi mjini posta,jamaa kustuka yuko mbele ya vijana wa kazi huku akifanyiwa ufedhuli,daah ndoa iliishia hapo, Nilisikia yule dada kaolewa hivi karibuni baada ya miaka kumi na upuuzi toka lile tukio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom