Kwanini mtoto wa kiume ni rahisi kusahau nyumbani kuliko wa kike?

Sep 25, 2017
7
5
Habari wapendwa, poleni na majukumu.

Naomba kuuliza ni kwanini baadhi ya watoto wa kiume wakishaondoka nyumbani kwa kuwa na familia yake au kuishi peke yake, huwa inakuwa vigumu kukumbuka nyumbani ukilinganisha na watoto wengi wa kike ambao mara nyingi hukumbuka nyumbani?
 
nadhani apo unafanya reference ya kaka yako au mwanafamilia wenu.....wengine hatupo ivyo..kila nikikumbuka mama yangu alivyoteseka kunilea kwa kuuza pombe ya mbege kwenye kibandaa kikuu kuu huku baba akimpiga kila siku siwez kamwe kusahau nyumbani including mama yangu......pamoja na kwamba nimeshaoa ila suala ya matunzo ya mama yangu ikiwa ni pamoja na kumboreshea makaz yake ni ongoing na halihusiani na ndoa yangu,.,,,, by the way siku izi mpesa kila kona namrushia maza ka-50 ka mboga fasta napiga kimy na sio lazima kila kitu mke wangu ajue hasa ya upande wangu na mama yangu kipenz.......haya mjifunze kitu ambao hamjaoa
 
Hapa kila mmoja atasema anasaidia wazazi wake ila kiukweli wanaume wenye kusaidia wazazi wao ni kumi kwa wanne walio wengi mpaka wasukumwe tena kama kwa wale wenye familia walio wengi mpaka wapate msukumo kutoka kwa wake zao ndio wanakumbuka na endapo mtu ana mke asiye na msukumo basi wazazi ndio wasahau kabisa kupata msaada na hata wakipata huo msaada hawaupati kwa wakati.

Kama mtabisha bisheni tu ila ndiyo kweli hiyo. Jitahidini mbadilike na nyie muwe kama sisi.
 
Hapa kila mmoja atasema anasaidia ila kiukweli wanaume wenye kusaidia wazazi wao ni kumi kwa wanne walio wengi mpaka wasukumwe tena kama kwa wale wenye familia walio wengi mpaka wapate msukumo kutoka kwa wake zao ndio wanakumbuka na endapo mtu ana mke asiye na msukumo basi wazazi ndio wasahau kabisa kupata msaada na hata wakipata huo msaada hawaupati kwa wakati.

Kama mtabisha bisheni tu ila ndiyo kweli hiyo. Jitahidini mbadilike na nyie muwe kama sisi.
Uku Juu my dada
 
Aisee iko ivo tu kuna kipindi ikifika unajihisi pale sio kwako tena, nyumba ya baba, kitanda cha baba ops! nitarudi nikipata vyangu!
 
Hapa kila mmoja atasema anasaidia wazazi wake ila kiukweli wanaume wenye kusaidia wazazi wao ni kumi kwa wanne walio wengi mpaka wasukumwe tena kama kwa wale wenye familia walio wengi mpaka wapate msukumo kutoka kwa wake zao ndio wanakumbuka na endapo mtu ana mke asiye na msukumo basi wazazi ndio wasahau kabisa kupata msaada na hata wakipata huo msaada hawaupati kwa wakati.

Kama mtabisha bisheni tu ila ndiyo kweli hiyo. Jitahidini mbadilike na nyie muwe kama sisi.
Bibie huu mwandiko wako umekua mdogo hata siuoni vizuri. Ila tunajitahidigi sana kuwahudumia wazazi wetu, na Mara nyingi sana huwa tunatoa assist kimya kimya sababu kuna baadhi ya wanawake wakiona unasaidia sana wazazi wanaishia kutoa vijikauli vya kebehi Mara "Tushakua shirika la msaada sio". Wanaume wengi kinachowashinda ni kuwatembelea wazazi wao mara kwa mara na hapa ndo mlipotupiga bao kwakweli .

Nb:- Ni muhimu sana kwa kila Binadamu kuwahudumia wazazi wake kama Maandiko yalivyosisitiza kuwaheshimu.

Poleni sana kwa wale mnaotamani kama wazazi/Walezi wenu wangekuwepo ili angalau kuonja huduma yenu, ila hamnao tena duniani
 
Ni kweri wanawake wanaongoza kwa kutosahau nyumbani iyo iko ivyo tofauti na sisi wanaume japo wengi tutabisha ila huo ndo uhalisia wa mambo ulivyo,na hii ndo imekuwa sababu ya wanaume wengi kuwapenda watoto wao wa kike zaidi kuliko wa kiume, kwasababu wanajua awawezi kusahau nyumbani.
Na hapa ukiangalia wanaume wengi watakao sema wanasaidia kwao watatolea mifano kwa mama zao sio baba zao
 
Back
Top Bottom