JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Kuna demu niko nae tangu anasoma chuo kila siku alikuwa ananiomba nauli.. Kamaliza chuo kaanza kazi kila siku ananiomba nauli na lunch nampa elfu 10. Nikajua ataacha akipata mshahara.. Huu mwezi wa tatu sasa kila siku ananiomba nauli.. Huu ni ulemavu au mshahara hautoshi au vipi.. Nasubiri mwezi huu akipata mshahara nakata huduma.. Huu ni wendawazimu sasa au ndo chake chake changu chake?