Enyi wanaume tuwapendeni na tuwatunze wake zetu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Huu natoa kama wito kwa wanaume wote ambao tuna wake wazuri, wake wanaojiheshimu ambao tuna wife matirial.

Hivi unaanzaje kumutukana mkeo?

Hivi unaanzaje kumpiga mkeo?

Hivi unaanzaje kumufanyia zarau mkeo?

Hivi unaanzaje kuchepuka na kumukosesha amani na raha mkeo?

Hivi unaanzaje kunuka mipombe pombe tena mibalimi kwa mkeo?

Tuwapendeni wake zetu jamani.

Hivi mwanaume mzima unashindwa kweli kumununulia mkeo hata kigari kama aliteza chenye usajili walau wa si hata cha milioni 4.5.

Ni hayo tu wakuu.

Mario msitoe mapovu maana nyie mmezoe vya dezo.

MKE NI ZAIDI YA NDUGU

MKE NI ZAIDI YA RAFIKI

MIMI NAMPENDA MKE WANGU MBITIYAZA

LONDON BABY
 
Me nakubaliana nawe the so called "dogo". Huwa inaniuma sana sana sana kumuona mke wangu analia. yaani huwa naumia sanaaaaa akiwa hana furaha, yote hayo uliyoyasema tuwafanyie wake zetu mimi nimeyafanya na naendelea kuyafanya namshkuru mungu. Tatizo kubwa tu nililonalo ni kwamba sometimes huwa nachepuka. Aisee nakosa kabisa suluhisho la tatizo hili. Yaani hata sijui kwa nini nachepuka aisee japo nimechepuka tu mara kidogo sana ila why nachepuka??!!! duh inauma sana, halafu sasa ubaya unakuja pale wazungu wakishatoka tu najikuta NAJUTA sana
 
Dah jizuie mkuu Hlf mkeo unampenda kwelikweli yaani kwake ww ni mahaba niue
 
Ni jambo la ajabu sana.
Nipo kwenye mafundisho ya ndoa, ghafla nimefungua jf nikajutana na hii thread
 
Katika kitu sipendi ni kupigwa na mume aisee yote nasamehe lkn Hilo sitakuja kumsamehe na dawa yake IPO jikoni
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Huu natoa kama wito kwa wanaume wote ambao tuna wake wazur, wake wanaojiheshimu ambao tuna wife matilio

Iv unaanzaje kumutukana mkeo?

Iv unaanzaje kumpiga mkeo?

Iv unaanzaje kumufanyia zarau mkeo?

Iv unaanzaje kuchepuka na kumukosesha aman na raha mkeo?

Iv unaanzaje kunuka mipombe pombe tena mibalimi kwa mkeo?

Tuwapenden wake zetu jaman

Iv mwana ume mzima unashindwa kweli kumununulia mkeo hata kigar kama aliteza chenye usajil walau wa C hata cha milion 4.5

Ni hayo tu wakuu

Mario msitoe mapovu maana nyie mmezoe vya dezo

MKE NI ZAIDI YA NDUGU

MKE NI ZAIDI YA RAFIKI

MIMI NAMPENDA MKE WANGU MBITIYAZA

LONDON BABY
Ujumbe mzuri huu
 
Dah jizuie mkuu Hlf mkeo unampenda kwelikweli yaani kwake ww ni mahaba niue
Yaani kapeace mtu wangu we acha. haya maradhi hata cjui niyatibu vipi mkuu, sijui ndio maana tukaambiwa tuoe hata wanne wa design tofauti maana hii misalambwanda yenu ndio inatutoa njiani kabisa aiseeee
 
Me nakubaliana nawe the so called "dogo". Huwa inaniuma sana sana sana kumuona mke wangu analia. yaani huwa naumia sanaaaaa akiwa hana furaha, yote hayo uliyoyasema tuwafanyie wake zetu mimi nimeyafanya na naendelea kuyafanya namshkuru mungu. Tatizo kubwa tu nililonalo ni kwamba sometimes huwa nachepuka. Aisee nakosa kabisa suluhisho la tatizo hili. Yaani hata sijui kwa nini nachepuka aisee japo nimechepuka tu mara kidogo sana ila why nachepuka??!!! duh inauma sana, halafu sasa ubaya unakuja pale wazungu wakishatoka tu najikuta NAJUTA sana
Aisee jizuie mkuu mke ni zawad toka kwa mungu mke ni ua zur sana usichepuke kiongoz
 
Back
Top Bottom