Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikutana nae form three, nilimpenda Sana naye alionesha dalili za kunipenda mpaka classmates wakadai ninakula mzigo Siku ya Siku nikamuita aje school tudiscus jmos,hakuweza kukataa alikuja Ndipo...
1 Reactions
102 Replies
8K Views
Huwa najiuliza sipati jibu inakuwaje Mume au Mke wa mtu akaibiwa ? Anaibiwaje ibiwaje kwanza!
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni...
3 Reactions
193 Replies
16K Views
Habari za mwisho wa juma nyote, Ndo kama hivo nimezima mahali ambapo nashindwa kujinasua. Nataka sana kutoka huku nilikonasa lakini siwezi.... nimechoka na haya mahaba nataka kuwa kubaki Kasie...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Mu wazima humu,, Huyu bwana ni x wangu. Ni mwaka n'a nusu sasa tangu tuachane na mimi kuondoka, Nina wiki mbili toka nirejee hapa mahala na nimekutana nae mara mbili. Jaman anavyoniangalia n'a...
6 Reactions
111 Replies
9K Views
Habari wana Jamvi! Ebu tutoeni utata huu, ivi kwa nini mume/mke huwa anauma endapo umesikia anachepuka na Njemba fulani mpaka inafika muafaka wa mtu kujinyonga, kula sumu au kuchinjana kabisa...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Y.O.L.O: Wanawake wengi wamekua wakiuliza wafanye nini ili wanaume zao wa-propose? Nafikiri hili si swali sahihi. Sababu zinazofanya niseme sio swali sahihi ni kwa sababu linawaweka wanawake...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni binti ambae niliingia nae kwenye mahusiano wakati tupo chuo mkoani Morogoro miaka miwili iliyopita tena ilikua ni dakika za mwisho mwisho kabla mimi na yeye hatujamaliza chuo ila kwa bahati...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Huyu msichana kaniahinda tabia. Kwanza ana tabia mbaya ya kuwakiss, kuwakumbatia, kujichekesha chekesha namarafiki zangu anawafanya ndo kila kitu. Anapanga mitoko na marafiki...
14 Reactions
332 Replies
21K Views
Yani we mwanamke kama mlezi wa watoto nyumbani unaruhusuje mwanao kucheza michezo ya like kama rede Una ruhusu Veep mwanao wa kiume kuwa na tabia ya kusuka wadada Unalea mtoto wa kiume afu anaanza...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
This article I just saw it in ma whatsApp group,and nimeona sio mbaya kushare na nyie. I send my compliments to the one who wrote this...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Nashindwa kuelewa! Unakuta wanawake wengi baadhi wanadanga, na wengine wanahangaika kupata watu hata wakuwachumbia au hata wakuwaoa. Sasa mimi najiuliza nini kilichojificha hapo? Hadi wanaume...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wana jamvi salama kabisa Jamanii nlikuaga na demu wangu flani tangu mwaka 2016 mwanzoni ,huyu binti nliishi nae na nlimpenda Bahati Mbaya akapata mimba akaitoa na mwisho akaniacha Na ikafikia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
TUJIFUNZE KUWAPENDA WENGINE Nimeona watu wengi wakitoa matamko hasa baada ya kuumizwa au kuona wengine wakiumizwa, kua jipende mwenyewe kabla hujapenda wengine. Ni sahihi. Lakini ni lini unaanza...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika mahusiano ya mapenzi ni kipi huchukua muda mrefu kutengeneza mahusiano na kuvunja mahusiano kipi huchukua muda mrefu
1 Reactions
86 Replies
6K Views
Wana jukwaa hasa wadada ambao hamjaolewa kwa hali ya sasa ukiangalia wanaume wanaojielewa ni wa kuhesabu. Waliobakia ni wapenda dezo, wapenda kujiremba na kuhongwa. Wakizaa na wadada basi ni...
18 Reactions
302 Replies
17K Views
Habari za wakati huu wakuu, Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, moja kwa moja niende kwenye kichwa cha habari, mimi ni kjana mwenye umri 20+ nna mpenzi ambaye nina mpenda kwa...
1 Reactions
105 Replies
11K Views
habari za saa hizi wanajukwa?moja kwa moja nielekee kwenye mada katika maisha ni kawaida kumpongeza yeyote mwenye jitihada katika mambo ya kawaida.ila huwa tunasahau kuwapongeza wenzetu kutokana...
4 Reactions
101 Replies
6K Views
Back
Top Bottom