Ni kitu gani hasa ulimtongoza ili akusaidie...?Nilimtongoza sababu nilihitaji kuwa na msaidizi lakin kumbe sifurahii kama nilivyokua nahisi nikiwa single
Siku hizo nilifikir labda ni kwa vile ni ugeni wetu ndio sababu lakin jinsi siku zinavyoenda ndio Najua kupenda ni zaid ya kukaa pamojamwaka wa 3? kutovutiwa huko kumeanza sasa au hata mwaka wa kwanza ulilazimisha hata siku ya kwanza?
Habari za Leo.
Mimi ni Kijana miaka 29 niko ktk mahusiano mwaka wa 3 huu.
Mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham
nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simuwaz wala Sion tamaa kabisa kuhusu yeye,
Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.
Asante.
oook...kwa hio imekuchukua miaka 3 kujua huna hisia nae tena kivile...je yeye mwenzio unavyomtazama anahisia na mapenzi yale yale tangu unamfahamu...Siku hizo nilifikir labda ni kwa vile ni ugeni wetu ndio sababu lakin jinsi siku zinavyoenda ndio Najua kupenda ni zaid ya kukaa pamoja