Wanawake warembo sio kwa ajili ya kuoa/kuolewa

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
426
Utafiti uliochapishwa katika Jaida la British Journal of Psychology, ulibaini kuwa wanaume huwachukulia wanawake ambao ni warembo kama vyombo vya starehe tu.

Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wengi wanapendelea kuwa katika mahusiano ya muda mrefu na wanawake wasiokuwa na mvuto sana ikilinganishwa na wanawake wenye mvuto (warembo).

Baadhi ya sababu kwa nini wanaume wanapendelea kuwa katika mahusiano na wanawake wenye mvuto na warembo badala ya kuwaoa ni pamoja na;

Utafiti uliofanyika hapo awali ulibaini kuwa wanawake wenye mvuto ni rahisi zaidi kutokuwa waaminifu ndani ya mahusiano hasa pale wapenzi wao wanapokuwa hawana mvuto. Wanaume wengi huwa na wasiwasi pale wanapokuwa mbali na wapenzi wao, huwa wanakuwa na maswali mengi

Wanawake wenye mvuto hutafuta umaarufu. Wanaume hupenda wanawake wasiokuwa na mambo mengi, lakini kwa upande wa wanawake warembo inaonekana kuwa wao hujali zaidi muonekano wao na mvuto wao wa nje kuliko walivyo ndani (tabia na mwenendo) hivyo kukosa sifa za kuwa wake bora. Ni vigumu sana kuendana na baadhi ya matakwa ya wanawake warembo.

Sababu nyingine ni kuwa, wanawake wenye mvuto na warembo hutajwa kuwa ghali (inahitaji gharama kubwa kummudu mwanamke wa aina hii).

Hili linaangalia zaidi aina yao ya maisha. Wanawake hawa hupendelea kuvaa nguo za gharama, kuishi maisha ya starehe na kufanya vitu ambavyo vinahitaji gharama kubwa, hivyo wao hupendelea kuwa na wanaume ambao wana kipato cha kutosha kuwahudumia mahitaji yao yote.

TOA MAONI YAKO

Nimeitoa facebook
 
INASEMEKANA WANAWAKE WOTE NI VYOMBO VYA STAREHE.NDIO MAANA UTASKIA WALIUMBWA KWA AJILI YETU
 
Ni Kweli kabisa kuoa Mwanamke mzuri na mrembo ni sawa na kulima Shamba la miwa jirani na shule za Kata a.k.a shule za kayumba
 
Main theme of African Literature is Women are tool of pleasure/entertainment. So toka enzi za mababu na mababu wanawake ni chombo cha kutustarehesha wanaume awe mrembo au sura mbovu utapata burudani tu wameumbwa kwa ajili yetu wee ukiwa umevurugwa tafuta papuchi akili itakaa sawa
 
Hii kitu imesababishwa na sisi wanaume wenyewe,binafsi na wengi pia nafikiri,tumeathirika kisaikolojia,yaani nikimuona mwanamke mrembo kupita kiasi hata akili yangu haipo kabisa...huwa naamini wapo kwa ajili ya fame men,kama wanasports,muziki wasanii na matajiri
 
Uzuri wa mwanamke uko machoni mwa muoaji. Whoopi Goldberg anaweza kuwa Angela Kagame kwa wengine.
 
Ungetumia tu kiswahili ungeeleweka nawe ungejielewa.

Main theme of African Literature is Women are tool of pleasure/entertainment. So toka enzi za mababu na mababu wanawake ni chombo cha kutustarehesha wanaume awe mrembo au sura mbovu utapata burudani tu wameumbwa kwa ajili yetu wee ukiwa umevurugwa tafuta papuchi akili itakaa sawa
 
Mwanamke matunzo. Urembo unakuja tu wenyewe. Wanaume wengi wanapenda kutafuniwa Ndio maana wanakuja na propaganda Kama hizi. Mpe matunzo yote anayostahiki mwanamke wako uone Kama hajawa mrembo.
 
Back
Top Bottom