Wadada tafuteni pesa la sivyo wanaume wazuri mtaishia kutuita kaka na baby

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,148
11,196
Habari zenu

Mimi ni kijana Handsome nnayevutia kwa kila mwanamke apitaye mbele yangu. Sina ajira kwa sasa yaani naishi kwa akili ya mjini

Lakini kuna kitu kinaniboa sana hasa hawa wanawake wanaotaka mapenzi halafu pesa hawana. Yaani huwa wananikera sana, hivi hamjui thamani ya mwanaume nyie?. Mwanaume pia anahitaji matunzo na kupetiwa petiwa

Mdada sura huna ,shepu nayo huna hata hela huna? Then unataka mapenzi kwa vijana mahandsome kama sisi

Mtaishia kutuita kaka na shemeji tu
 
Doooh mkuu na wewe unataka utunzwe heeeeeh

Ama kweli nimeamin kuna mdau mmoja wa jf alisema species aina za wanauume zina anza kutoweka na kwa hali hii ni kweli kbsaa

Na sidhan kama uko mtaani kwenu wanakuacha salama kama hawa kulemu tuz ni bahati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom