Hivi hizi ni 'stress' gani?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?:(
 
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua nazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha ,

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadirisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi ,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weeee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi , next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata Stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje??:(
Hapo ungemalizia na good sex ingekuwa poa zaidi.
 
753a3920ce47158165c54b35ecd6d29f.jpg
 
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua nazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha ,

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadirisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi ,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weeee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi , next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata Stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje??:(
Halafu ujue nakutafuta siku nyingi wewe;):)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom