Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Habari za usiku wanandugu,
Kama heading ilivyo, mimi ni kijana ambaye bado sijawa economicaly stable, ila nilikuwa na idea ya kuzaa mtotoo na mwanamke ambaye Mungu akijalia ndo atakuwa mke wangu.
Mwanzo nilipanga kabisa hata kama sitokuwa na uwezo mzuri kiuchumi wacha tu nizae maana umri haurudi nyuma, so bora nizae mengine yatajulikana mbele kwa mbele kwa mapenzi ya Mungu.
Ila jana nikaongea na Jamaa yangu mmoja yeye ameoa akaniambia dogo usizae kama hujajipanga utaona maisha magumu na machungu balaa.
Kiukweli nilivunjika moyo maana ni kama vile mpango wangu ambao nilishaupanga na upo fixed unaharibika maana kiukweli sijawa vizuri kiuchumi.
Sasa wanandugu embu nishaurini nifanye nini hapa!