Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Ananisimulia Rafiki yangu xxxx xxx...
Aisee wakuu, jana nimepatikana bana, kuna manzi mmoja tulipeana phone # sasa tukawa tunafanya convo za kutosha.
For over three of four days tumekuwa kwenye hot convos.. Yaani zile za ki hot hot si unajua tena kama mtoto mkaree akikupa namba jinsi inavokuwa.. Kama ni kuchat mpaka vidole vinakuwa vitamu.
Sasa sijui huyu manzi alinizidi ujanja au vipi maana nikiri nimeingia kwenye mtego mbaya.
Hiyo jana baada ya chat mbili tatu, halafu kwa sababu ni weekend ndefu nikaona nigusie suala la kutoka. Nikamtext kumwambia kama tunaweza toka leo.
Sijui ni alijua intention yangu ama vipi.. Akaanza kunichokonoa " tutoke kufanya nini"? Na mimi kwa sababu nlishamzoea nikaamua kuwa direct to the point... Kumbe nimetibua majini
Ee bana weeeeehhh.. Kumekuchaa!! Mtoto akanibadilikia akaanza kutema vocal tena sms kwa herufi kubwa "NAOMBA USINITIE KATIKA MAJARIBU" huo mstari akautuma kama mara 3 then akaendelea "NAOMBA SANA USINIJARIBU NA USINIINGIZE KWENYE HAYO MAJARIBU" ... HILO JARIBIO LIMESHINDWA... "PLIZ PLIZ MI SIO MALAY.A NA NI JINSI GANI UMENIDHARAU SANA" ... "WHY USIWAAMBIE WATU WENGINE UNIAMBIE MIMI"...
Mwanaume ilibidi niwe mpole na mdogo kama piriton. Sikuwahi kwenye maisha yangu kuchezewa karata ngumu kama hii na mwanamke yoyote
I was CHECKMATED in a stylish fashion.
Nilijuta kumfaham, nikaijutia sana ile message fupi ya kuomba gegedo. Sasa ikabidi niingie kwenye kazi ya kuomba radhi na kumtuliza mtoto.
Hatari sana jamani.. Ila good news ilo zaga nimelipangua lakini bado nna ka hofu kwamba niendelee kumpush ama la. Sio kwa kizanga hicho cha jana.