Vijana wizi wa wake wa watu ni hatari

Vijana wizi wa wake wa watu ni hatari

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,426
Kijana amepangisha chumba, ndani ya ile nyumba kuna bwana ameajiriwa serikali ni au shirika la umma. Si haba ameoa mke mrembo na anamudu kubadilisha mboga.

Kijana wewe unatumia nguvu ya ziada kumtongoza mke wa bwana yule na unafanikiwa. Matokeo yake bidada amekolea kwenye penzi zito. Akipika kuku mume anapewa vipapatio mapaja yote anakuletea wewe ambae hata kodi ya chumba inakushinda.
 
Mm mishen town njoo tyu tutaiba ili mradi mradi maisha yaende
 
dah! aisee! huwa inauma sana hiyo, hasa kwa sisi wanaume, tukisalitiwa huwa tunaumia sana
 
Kijana amepangisha chumba, ndani ya ile nyumba kuna bwana ameajiriwa serikali ni au shitika la umma. Si haba ametoa mke mrembo na anamudu kubadilisha mboga.

Kijana wewe unatumia nguvu ya ziada kumtongoza mke wa bwana yule na unafanikiwa. Matokeo yake bidada amekolea kwenye penzi zito. Akipika kuku mume anapewa bipapatio mapaja yote ana kuleta wewe ambae hata kodi ya chumba inakushinda.

Yanauma haya ...
 
what goes around always come around
atulize kalio zake ipo siku na yeye atahudumia mke na mchepuko
 
Hata nguvu haitumiki,unakuta tu wana kiu ya muda mrefu ya kujarribu nje ndo unapewa mpk kero,
Hasa wazee wetu walio oa wanawake waliowazid kuanzia miaka kumi,wake zao wanatusumbua sana.
 
Ebwanaeeh Hamna kitu naheshim kama mke wa mtu I have 100% respect for these kind of women

Je, heshima hiyo unampa mkeo kwa kutokuwa na mahusiano na wanawake wengine licha ya kujali ni wake za watu au hawajaolewa?

Hongera kwa kujiweka mbali na wake za watu, hatua nzuri.
 
Katika maisha yangu nmewahi kutembea na mke wa mtu mara moja bila kujua km kaolewa maana anytime ukimtafuta yupo free na siku nyingine tunatoka hadi usiku wa manane

Lakini siku nliyokuja kujua hapohapo ndio ukawa mwisho wetu
 
Hukuletewa mapaja ya kuku na wali wa nazi?
 
Katika maisha yangu nmewahi kutembea na mke wa mtu mara moja bila kujua km kaolewa maana anytime ukimtafuta yupo free na siku nyingine tunatoka hadi usiku wa manane

Lakini siku nliyokuja kujua hapohapo ndio ukawa mwisho wetu
vp alikua ananoga sana bed eeh??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom