interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,111
Mizinga mpaka lini?
HahahahaDuuuh nimekimbia kote kuwahi kumbe mizinga ya mademu...wooiiii mi nikajua mizinga ya jeshi
Hatari sana hii.....kuchoshana aseeh!Magu kabana muonee huruma mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh nimekimbia kote kuwahi kumbe mizinga ya mademu...wooiiii mi nikajua mizinga ya jeshi
Mkuu ngoja nidandie tyu hapa maana nilivo kuja ndukiDuuuh nimekimbia kote kuwahi kumbe mizinga ya mademu...wooiiii mi nikajua mizinga ya jeshi
PoleniHatari sana hii.....kuchoshana aseeh!
nilishtuka nikajua mizinga inapigwa mahaliMkuu ngoja nidandie tyu hapa maana nilivo kuja nduki
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Keshakuuliza ,upo wapi tupige story ?????
Mwenzio alikua anatafuta njia ya kukuingia ili apate nafasi ya majibizano naww .otherwise ungeona anakushobokea.
Nitumie namba zake PM aunhapa..MIMI mwenyewe nitampigia simu..
Hata km anashida ya pesa ,iliusione nimzinga ,, waweza mpa lkn usitegemee kitu toka kwake.
Poa nakutumia mpambane,demu njaa njaa sipendi atafute zakeKeshakuuliza ,upo wapi tupige story ?????
Mwenzio alikua anatafuta njia ya kukuingia ili apate nafasi ya majibizano naww .otherwise ungeona anakushobokea.
Nitumie namba zake PM aunhapa..MIMI mwenyewe nitampigia simu..
Hata km anashida ya pesa ,iliusione nimzinga ,, waweza mpa lkn usitegemee kitu toka kwake.
Hahahaha ! Mashine kila unganisage aseh? Demu mkali hutojuta ila usiende kwa gia za kunitaja mie niliyetoa nambaSIO KESI, NITAJIE NAMBA YAKE YA SIMU NA KIWANGO ANACHODAIWA.. Alafu wewe mashine kasagie unga
ukshatoa nambaa wewe sitakjua tena,njoo pm tafazalHahahaha ! Mashine kila unganisage aseh? Demu mkali hutojuta ila usiende kwa gia za kunitaja mie niliyetoa namba
Hamna cha njaaa njaaa wala nn...kwan umemtongoza ??? Kwan amekutongoza ????Poa nakutumia mpambane,demu njaa njaa sipendi atafute zake
Usitafute umaarufu wala nini ili manze za humu zikushobokee kuwa unajua!! Kumbuka nimefupisha maongezi kwa jinsi alivokuwa anaongea na mimi .......nikishajiongeza acha uchoko bhasi niko vizuri ndo maan kqqnza kunitafuta usiku mnene najua fika stor zake.Hamna cha njaaa njaaa wala nn...kwan umemtongoza ??? Kwan amekutongoza ????
Wat if km mwisho wasikj angekuambia ivi *** M naomba unikopeshe kiasi fulani cha pesa ,,mambo yangu yakikaa sawa nitakurudishia ***... Aya ingekuaje ???????
Kwanza km yupo Humu Kamuombe msamaha kwauluchofanya .
Pili ungemsikiliza ukamjua kwanza non tatizo na anahitaj msaada waaina gan...sasa Wewe mapema tuuuu ooohhhhh MZINGA ??? .ungemsikiliza kisha ndo ukamwambja sina... Shida siku izi hamtak kua wakweli kuhusu hali halisi ya uchumi ..matokeo yake ndo Haya ,,kila kitu mzinga ..
Mwenzako Jana kasema dem wake kampiga mzinga eti kumwambia mama hana ela yachakula....oohhh mwingine kumwambia sijui nnn nmesahau..
Kwaufupi.
Kua gentleman bana ,,alafu usikute hakukubali wala nn isipokua anaitaji umkopeshe ,,sasa wanawake wanajua kutumia ndimi zao vzuri wanapoitaji msaada km huo .
Nipe namba,,, Wenda ndo ukawa umenifunganisha pingu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8]