Bwa' Shemeji inakuhusu hii!

Bwa' Shemeji inakuhusu hii!

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,207
Reaction score
7,364
Umesafiri, haupo nyumbani.

Usiku unampiga simu mke wako umjulie hali hamjaongea kutwa nzima. Ile mmeanza tu kuongea, mara paaap, wife anakwambia kwa papara huku akihema kwa nguvu "samahani baby hebu kata simu mara moja kuna simu ya maana hapa inaingia". Unakata, unasubiri amalize akupigie. Anaongea kwa muda mrefu hadi unapitiwa na usingizi, unalala. Ile unashtuka umpigie, unacheki simu unakuta amekutumia kaujumbe "G9T". Unajaribu kumpigia, unakuta simu yake imezimwa.

Huo usingizi utalalika kweli? Utachukua hatua gan?
 
Sasa hata usipolala yeye huko aliko mkeo nae halali...hapo unapiga usingizi na wakati ukifika utamshughulikia ukiwa na ushahidi madhubuti.
 
Duuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.

Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,

Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .

Alinijibu.

Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *

Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .

Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .

Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
 
Nimemwelewa sana Prof. wako aiseeeh wacha na mimi niungane nae kwenye huo mpango wa kununua maziwa badala ya kufuga ng'ombe
 
Duuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.

Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,

Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .

Alinijibu.

Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *

Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .

Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .

Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Nimependa Bure Hayo Majibu na mifano ya mifano yake
 
Kwani prof Lipumba ana mke au na yeye ananunua maziwa?
 
Nimeipenda hiyo lifestyle ya prof, lakini sijaipenda kuiishi [emoji3]
 
Uzeeni hataweza kununua maziwa na mke atamsiri zile siku za kibofu kuleta matatizo kutokana na uzee
 
Umesafiri, haupo nyumbani.

Usiku unampiga simu mke wako umjulie hali hamjaongea kutwa nzima. Ile mmeanza tu kuongea, mara paaap, wife anakwambia kwa papara huku akihema kwa nguvu "samahani baby hebu kata simu mara moja kuna simu ya maana hapa inaingia". Unakata, unasubiri amalize akupigie. Anaongea kwa muda mrefu hadi unapitiwa na usingizi, unalala. Ile unashtuka umpigie, unacheki simu unakuta amekutumia kaujumbe "G9T". Unajaribu kumpigia, unakuta simu yake imezimwa.

Huo usingizi utalalika kweli? Utachukua hatua gan?
Hiyo mbinu alikuwa anatumia mke wangu namemwaacha aheme vizuri bila bughudha kwa raha zake.
 
Back
Top Bottom