Habari zenu wakuu!
Nimejitokeza kwenu kuhitaji binti ili niweze kumuoa kama tutaendana.
Awe muislamu.
Umri 18-28.
Elimu kuanzia kidato cha 4.
Kuhusu mimi.
Umri wangu miaka 27.
Muajiriwa...
Wiki 2 zilizopita katika mihangaiko yangu ya kufukuzia shilingi,nilikutana Na dada mmoja hivi Wa kinyaturu,in short very amazing!
Katika mazingira niliyokuwepo ya kijijini shamba nikahitaji...
Ukistahajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firaoun.
Kuna baadhi ya wanaume wanapowakuta wake zao wanavunja amri ya 16 huchukua hatua ya kumtafuta eidha mwenyekiti wa mtaa au balozi wa nyumba 10 kwa...
Ujue wewe ni jipu tena litatumbuka muda wowote ndani ya mahusiano au baada ya mahusiano kukolea au Ndoa! Kujua historia ya mtu kabla ya kuanza mahusiano ni muhimu sana tena sana......
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui...
Mwanamke lazima uwe na kifua. Kifua cha kuweka kutunza mambo yako ya ndani na mambo ya familia yako. Kifua cha kuweza kuchambua kipi cha kutunza, kipi cha kufuta na kipi cha kufanyia kazi. Haifai...
Heshima kwenu wanaJF,
Kama mada inavyosema hapo juu,
Kwa muda mrefu kumekuwa na hii dhana potofu kwa baadhi ya wanaume wenzangu kuwa kumteka hisia mwanamke kimapenzi ni lazima uwe na fedha/mali...
Inakera na inahuzunisha sana nimejiandaa katikati ya gemu dushe limenigomea, aisee wakuu hii kitu mbaya sana mbaya zaidi shutuma zikaanza oh wewe huna mapenzi na mimi mtu chozi.
Aisee hatari...
Usijaribu kutafuta binti mzuri wa sura na umbo kuwa housegirl wako ukadhani mumeo atamchukulia kawaida tu kama dada wa kazi ama shemeji yake.
Wanawake wengi usahau kuwa mumewe anaweza kunasa...
Love is something that can never be put into words; it can never be described. It is one of the most beautiful feelings that can be felt and understood only by the heart. Love gives you that...
Amani iwe juu yenu!!
Wapenzi wengi wamejikuta kwenye mtihani wa kupendana na wenza wao ilhali imani za dini zao huwa zipo tofauti. Jambo ambalo siku zote nimekuwa nikiliamini ili mtu awe na...
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel...
Habari za wakati wapendwa ?
Ni matumaini yangu mu wazima wa Afya !
Natafuta mpenzi wa kike anaeishi Dar, awe mchumba na hatimae mke wangu .
Awe mrefu kiasi , mwembamba wastani , mwenye nidhamu...
Katika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda, umezaliwa kitandani, unafanya mapenzi kitandani, unapata watoto kitandani, ukiumwa unakimbilia kitandani, ukichoka unakimbilia...
Nilikuwa najiuliza kila siku niweze kusema hili jambo leo nimepata nimeona ngoja niseme.
Jambo lenyewe lilikuwa kama ifuatavyo:-
Ni kama miaka 10 hivi iliyopita wakati tunasoma chuo. Nilikuwa...
Mikoa ya kusini yaendelea kuongoza kwa UKIMWI, njombe inaongoza kila watu 100 hao 15 wana UKIMWI,
pemba haina maambukizi makubwa, katika watu 300 kuna mtu mmoja mwenye UKIMWI
Viwango vya...
Wadau wa JF jukwaa lililosheheni wajuvi wa mambo,
Niende kwenye mada,
Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa, tangu tufahamiane nilimpenda Bi dada huyu kwa...
Ndugu naimani hamjambo,
Wakati nasoma chuo fulani huko kaskazini, nilikuwa na maisha yangu ya tofauti, nilipenda michezo na sanaa. Kwa kawaida huwa sikuwa napendelea kuwa na mpenzi katika...
WANA JF
HAMJAMBO.
Naleta mrejesho bàada ya miezi kadhaa kuandika thread ya hofu yangu ya kuwa affected na HIV,
NILIKUWA KATIKA WINDOW PERIOD.
Ni miezi kama 10 sasa nimepima na kujikuta negative...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, nilieajiriwa, ninahitaji mke wa kumuoa awe mkristu dhehebu lolote kwa sasa napatikana Dodoma.
Kwa alie tayari anichek inbox kwa SMS, serious I mean.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.