AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Zamani ilikuwa ni kama tabia hivi kushuhudia mabinti wakilia hadi wakitoa machozi siku za ndoa zao Lakini Anadumu kwenye ndoa...ILA SIKU HIZI SASAAAA...Unamkuta mdada mimacho kodoooo na kulisakata rhumba alisakata tena vizuri na cheko panaaa la msuto kwa mashostu zake...anakaa siku tatu tu ndoani kashaachwa...!
Hebu wakuu tujuzane...NiNI SABABU YA MABINT KULIA KWENYE SIKU ZA NDOA ZAO ZAMANI...NA SIKU HIZI NO HIYO KITU...?
Hebu wakuu tujuzane...NiNI SABABU YA MABINT KULIA KWENYE SIKU ZA NDOA ZAO ZAMANI...NA SIKU HIZI NO HIYO KITU...?