super model
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 307
- 321
Mimi kama mdau wenu wa jamii forum nilileta uzi huku wakufarakana na mr nilifanyia kazi mawazo yenu nikajifanya mjinga mambo yakaenda sawa siku zote unaambiwa bora kujifanya mjinga ili uwe na amani japo wenye busara watakuona una akili ila umejifanya mjinga ili kuepusha majanga.
Siyo siri mapenzi yanauma nilipopata majanga nilidata nilishindwa kula siku tatu nawaza ni vipi nitasolve yaliyonisibu najua kuna watu wasioelewa nini maana ya mapenzi wanapuuzia na kuona wanaoumizwa na mapenzi ni wadhaifu ila omba Mungu yasikukute bora hata ulipukiwe na bomu lakin siyo maumivu ya mapenzi.
Asanteni kwa ushauri mzuri mlionipa na mungu azidi kuwafanya muwe washauri wazuri wa wenzenu.